Je, wale wenye dhamana za Kisiasa na Kiutawala mmeshajiuliza ni kwanini baadhi yenu mkipata ajali na kunusurika watu hufurahi na hata kutaka mfe tu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kwa lugha nyepesi tu au kwa maana nyingine hapa nasema kuwa tujitahidi mno kabla hatujateuliwa nafasi yoyote au hata tukiteuliwa tu tuache Kuwatendea mabaya Watu kwani Mungu aliyekuumba Wewe ndiyo huyo huyo kawaumba na Wao.

Kuna mahala fulani hivi nimemuona Israeli kama vile anataka Kuondoka na Mtu, ila bado anasikilizia Order kutoka kwa Israeli Mkuu ambaye Yeye akiamua tu basi ni Sekunde unaondoka.

Sitaki Maswali ila naomba tusali mno. Wanasiasa na Wateule tafadhali jitahidini sana kutomkosea Mwenyezi Mungu hasa katika Matendo yenu.

Na kama mkinusurika na huyu Israeli ambaye kwa sasa namuoma hachezi sana mbali na eneo la Shule ya Jangwani na Tambaza, basi jueni kuwa mmepona ili mjifunze, mtubu upesi na mbadilike.
 
Yasemekana radio mbao nae alishiriki shiriki.
Ukiwaamiza watu watayafurahia mateso yako.
Musiba kaomba poo tumuombee
Ndugu Israeli nasikia kwa muda huu hataki Kubanduka kati ya Jangwani Secondary School na Tambaza High School. Kuna Mtu nasikia anamtaka mno hapo japo anaweza pia Kumsamehe kama akitubu upesi.
 
Kama Hana kitanda tumpelekee aweke Kambi kabisa.
 
Ndugu Israeli nasikia kwa muda huu hataki Kubanduka kati ya Jangwani Secondary School na Tambaza High School. Kuna Mtu nasikia anamtaka mno hapo japo anaweza pia Kumsamehe kama akitubu upesi.
Ndugu Israeli nasikia kwa muda huu hataki Kubanduka kati ya Jangwani Secondary School na Tambaza High School. Kuna Mtu nasikia anamtaka mno hapo japo anaweza pia Kumsamehe kama akitubu upesi.
Mbona hiki kitendawili nimeshindwa kukitengua?
 
Duniani ni kazi sana kumridhisha kila mtu.
Ndani ya familia tuu kuna upinzani sembuse nchi!
Hapo ndo ujue kuna gap kubwa sana kati ya watawala na watawaliwa.
Magu alivyofariki wapo walifurahi na kufanya sherehe ila wapo waliohuzunika hata kuharibu maisha yao kwa sababu tuu ya mapenzi kwa kiongozi wao.
ukiishi huna mpinzani jua maisha yako hayako sawa
 
Waliohuzunika hadi kufa ni wajinga na wapumbavu sana. Na walistahili kama alivyostahiri magu
 
Back
Top Bottom