Sugu ataka Dr Mpango na Katibu wake wang'olewe , ashangaa kung'olewa Kamishna wa TRA pekee

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,644
218,096
Akizungumza leo bungeni amesisitiza kwamba itakuwa uonevu mkubwa kuwaondoa wengine na Kuwaacha viongozi wa Wizara ya fedha.

Mh Mbilinyi amesisitiza umuhimu wa Waziri wa fedha kutokana na wabunge wa kuchaguliwa badala ya kuokotwa jalalani
 
Attachments

  • Kikazi zaidi - 2... - JONGWE - MVMP - DEIWAKA - PoliticalPrisonerno219 - JongweMisuti ( 352 X...mp4
    701.8 KB
Akizungumza leo bungeni amesisitiza kwamba itakuwa uonevu mkubwa kuwaondoa wengine na Kuwaacha viongozi wa Wizara ya fedha.

Mh Mbilinyi amesisitiza umuhimu wa Waziri wa fedha kutokana na wabunge wa kuchaguliwa badala ya kuokotwa jalalani
Huu msamiati wa Jalalani aliyeuasisi.....ataujutia baadae.

Ona wavuta bhangi wanavyoutumia vibaya tena kwa mtu yeyote!
 
Akizungumza leo bungeni amesisitiza kwamba itakuwa uonevu mkubwa kuwaondoa wengine na Kuwaacha viongozi wa Wizara ya fedha.

Mh Mbilinyi amesisitiza umuhimu wa Waziri wa fedha kutokana na wabunge wa kuchaguliwa badala ya kuokotwa jalalani
Hapo ndio kaharibu. Wabunge wa kuchaguliwa ndio hao kina sugu, sugu au mbowe aweza kuwa waziri wa fedha?!
 
Ona wavuta bhangi wanavyoutumia vibaya tena kwa mtu yeyote!
Wavuta bhange sio watu, wasikie tu kwa jirani au muulize TID!
64791509_215569432743751_2106816266212063207_n (1).jpg
 
Back
Top Bottom