DC Msando na DC mwenzake wahamishiwa Muhimbili kwa matibabu zaidi lakini wako stable

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,467
141,171
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando na mwenzake wa Ulanga waliopata ajali leo wamehamishiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.

Msemaji wa Hospitali ya Rufaa Morogoro amesema viongozi hao hali zao zinaendelea vizuri na wako stable.

Dereva na Wauguzi wawili waliokuwemo kwenye gari ya DC wanaendelea vizuri.

Source: TBC

Mungu ni mwema wakati wote!

Pia, Soma=> Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Albert Msando apata ajali ya gari
 
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando na mwenzake wa Ulanga waliopata ajali leo wamehamishiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.

Msemaji wa Hospitali ya Rufaa Morogoro amesema viongozi haohali zao zinaendelea vizuri na wako stable.

Source: TBC

Mungu ni mwema wakati wote!
Mchepuko sijaona jina lake likitajwa hapo, hii sio sawa.
 
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando na mwenzake wa Ulanga waliopata ajali leo wamehamishiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.

Msemaji wa Hospitali ya Rufaa Morogoro amesema viongozi haohali zao zinaendelea vizuri na wako stable.

Source: TBC

Mungu ni mwema wakati wote!
Yote tuombe Mungu

Karma is a bitch, Hawa jamaa hawajui wakala hoi ni watu gani

RIP kama ikiwezekana in advance
 
Back
Top Bottom