Bunge: Taarifa za Wabunge wasiopata chanjo kutoruhusiwa Bungeni hazina ukweli

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Bunge limekanusha madai ya Wabunge wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kuingia Bungeni, likisema kuchanja ni hiari yao na wanahimizwa kufanya hivyo

Imeelezwa, utaratibu umeandaliwa kuwawezesha wapate Chanjo katika Viwanja vya Bunge kwa hiari yao ili wajikinge na kuwakinga wengine

26F13FDA-132A-4457-9445-EAF25E5BD6CA.jpeg
 
Kwi kwi kwiiiii! Hahahahahahaaaa!

CCM wanaruka na kukanyagana, wanaruka kinyama!
 
Tunawachanganya wananchi. Tungeacha matamko, tukajikita kwenye ushawishi tu.
 
Bunge limekanusha madai ya Wabunge wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kuingia Bungeni, likisema kuchanja ni hiari yao na wanahimizwa kufanya hivyo

Imeelezwa, utaratibu umeandaliwa kuwawezesha wapate Chanjo katika Viwanja vya Bunge kwa hiari yao ili wajikinge na kuwakinga wengine

View attachment 1891940
Pole pole weeee,Polepole weee, alisema marehem SEIF (R.I.P) Wafaaa na Gwajima wako
 
Juzi niliandika kuwa wabunge Gwajima na poleople wanatakiwa kuchanjwa la sivyo hawataingia bungeni leo ofisi ya bunge imenijibu kishkaji, watajijua wenyewe

USSR
IMG-20210814-WA0007.jpg
 
Hapo itakuwa mkuu wa mhimili mmoja amekatazwa na mkuu wa mhimili mwingine kuwalazimisha waheshimiwa Wabunge. Ama kweli mihimili haipo sawa.
 
Ninachokiona kwenye hiyo barua ni kuonyesha kitengo cha mawasiliano bengeni kipo ON, although kwenye andiko kuna kitu kimejificha kwa style ya "imeandaa utaratibu utakaowawezesha waheshimiwa wabunge wote kupata chanjo katika viwanja vya bunge"

Hapo kwenye wabunge wote ndipo ile lazima ilipojificha, kwamba mbunge ambaye hataonekana anaweza kuzodolewa na kutengwa mle ndani

Mfano...
 
Wakijiuzuli ubunge hakika JPM atafarijika sana huko aliko iwe motoni au peponi, au kama anasubiri hukumu
 
Back
Top Bottom