Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021

WAKA Wananchi&Katiba

Dar es salaam., Tanzania
9 JUL 2021 —

Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.

Nyote mnakaribishwa kwenye kongamano hilo.

Pia nichukue fursa hii kuwafahamisha kua Jaribio la Daftari la WAKA (Wanancbi & Katiba) linaendelea katika wilaya mbalimbali za Jiji la Dar es salaam.

WAKA tunawashukuru wananchi wenzetu kwa ushirikiano.

Yahaya Omary Mpanda.

76A74214-8676-4AB7-B620-DD4D08DB6262.jpeg
 
View attachment 1885141
When one door is closed another one is open and many more...
 
safi sana. Shusha nanga pandisha nanga.
 
Hii ni movement sahihi Katiba ni ya Wananchi sio vyama vya siasa
Hapa wadai Katiba wa vyama na wasio na vyama
Mtashangazwa Mataga wapenda nchi watakuwa wengi...
Vyama vya siasa sasa wananchi watajua nani ni nani
Kila la Heri
Wananchi na Taifa Kwanza Vyama vitoe elimu kwa wanachama wao
 
UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021

WAKA Wananchi&Katiba

Dar es salaam., Tanzania
9 JUL 2021 —

Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.

Nyote mnakaribishwa kwenye kongamano hilo.

Pia nichukue fursa hii kuwafahamisha kua Jaribio la Daftari la WAKA (Wanancbi & Katiba) linaendelea katika wilaya mbalimbali za Jiji la Dar es salaam.

WAKA tunawashukuru wananchi wenzetu kwa ushirikiano.

Yahaya Omary Mpanda.

View attachment 1885141

Jitihada hizi na ziendelee kama vipi magereza zaidi tafadhali.
 
Hivi mbona watuwengi walio lewa CCM katiba mpya kwao ni chukizo?
Wengi wanaihusianisha na vurugu, vipi? Wakati mwingine wanahusianisha na upinzani.
Hawa watu wnaelewa maana ya katiba kweli?
 
Back
Top Bottom