Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,122
Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe!
Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli.

Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si tu makini bali more intelligents.
Waziri wa Afya Dr.Dorothy Gwajima anaweza kuwa "Clever" but she is not" Intelligent".

Ukifuatilia tukio la Dr.Bulugu unaona kabisa it was a "Staged event" kwani ukimsoma vizuri huyo Dr.Bulugu alipoanza "Ku - pretend" kufaint kuna mtu mwenye sauti nzito kama ya Askofu Gwajima ikiuliza," alikuwa amechanja"? Na haraka sana anasema tukio hilo lisiwe covered na media! Huyo mtu tayari ukiuunganisha mawazo yake unaona kabisa presumptions zilizoko kwenye mind yake!

Kwa upande wa Waziri wetu wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima yeye ukimsikiliza anadakia kama "empty headed", " kuna nini hapo,si akae......." Childish Brain!!!!!!

Huyu Dr.Bulugu ni nani na ana CV gani? Bulugu ?! obvious kwa hili jina ni Musukuma ( sipendi ukabila ila tunapochunguza mambo lazima "no stone left unturned")!

Viongozi wetu lazima wajue ukiunganisha dots za kauli za akina Askofu Gwajima, Humphrey Polepole na wengi walioko nyuma yao, Maajabu ya Gazeti la Uhuru kumlisha Mwenyekiti wa CCM maneno kuwa hana wazo la kugombea Urais 2025 unapata taarifa kamili kama wewe uko kwenye level za juu za interpretation!

Akina Askofu Gwajima hawajasoma clearly known formal education ( wameungaunga) ila sasa wanapesa nyingi sana walizovuna toka kwa waumini ( misukule) wao hivyo "they have big money , they can buy and sell anybody"!
 
Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe!
Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli.

Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si tu makini bali more intelligents.
Waziri wa Afya Dr.Dorothy Gwajima anaweza kuwa "Clever" but she is not" Intelligent".

Ukifuatilia tukio la Dr.Bulugu unaona kabisa it was a "Staged event" kwani ukimsoma vizuri huyo Dr.Bulugu alipoanza "Ku - pretend" kufaint kuna mtu mwenye sauti nzito kama ya Askofu Gwajima ikiuliza," alikuwa amechanja"? Na haraka sana anasema tukio hilo lisiwe covered na media! Huyo mtu tayari ukiuunganisha mawazo yake unaona kabisa presumptions zilizoko kwenye mind yake!

Kwa upande wa Waziri wetu wa Afya Dr.Dorothy Gwajima yeye ukimsikiliza anadakia kama "empty headed", " kuna nini hapo,si akae......." Childish Brain!!!!!!

Viongozi wetu lazima wajue ukiunganisha dots za kauli za akina Gwajima, Polepole , Maajabu ya Gazeti la Uhuru kumlisha Mwenyekiti wa CCM maneno kuwa hana wazo la kugombea Urais 2025 unapata taarifa kamili kama wewe uko kwenye level za juu za interpretation!

Akina Askofu Gwajima hawajasoma clearly known formal education ( wameungaunga) ila sasa wanapesa nyingi sana walizovuna toka kwa waumini ( misukule) wao hivyo "they have big money , they can buy and sell anybody"!
Polepole alaumiwe!
 
Una akili sana wewe mtu. Ningekuwa na mamlaka ungekuwa recruited TISS moja Kwa moja.

Hivi ndo vichwa tunavyovitaka Tanzania.

Mama awe makini sana! Kuna sabotage kubwa sana anafanyiwa. Matukio yanapangwa kwelikweli.
Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe!
Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli.

Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si tu makini bali more intelligents.
Waziri wa Afya Dr.Dorothy Gwajima anaweza kuwa "Clever" but she is not" Intelligent".

Ukifuatilia tukio la Dr.Bulugu unaona kabisa it was a "Staged event" kwani ukimsoma vizuri huyo Dr.Bulugu alipoanza "Ku - pretend" kufaint kuna mtu mwenye sauti nzito kama ya Askofu Gwajima ikiuliza," alikuwa amechanja"? Na haraka sana anasema tukio hilo lisiwe covered na media! Huyo mtu tayari ukiuunganisha mawazo yake unaona kabisa presumptions zilizoko kwenye mind yake!

Kwa upande wa Waziri wetu wa Afya Dr.Dorothy Gwajima yeye ukimsikiliza anadakia kama "empty headed", " kuna nini hapo,si akae......." Childish Brain!!!!!!

Huyu Dr.Bulugu ni nani na ana CV gani? Bulugu ?! obvious kwa hili jina ni Musukuma ( sipendi ukabila ila tunapochunguza mambo lazima "no stone left unturned")!

Viongozi wetu lazima wajue ukiunganisha dots za kauli za akina Askofu Gwajima, Humphrey Polepole na wengi walioko nyuma yao, Maajabu ya Gazeti la Uhuru kumlisha Mwenyekiti wa CCM maneno kuwa hana wazo la kugombea Urais 2025 unapata taarifa kamili kama wewe uko kwenye level za juu za interpretation!

Akina Askofu Gwajima hawajasoma clearly known formal education ( wameungaunga) ila sasa wanapesa nyingi sana walizovuna toka kwa waumini ( misukule) wao hivyo "they have big money , they can buy and sell anybody"!
 
"Alikuwa amechanjwa? Jamani fungeni makamera kama alikuwa amechanjwa isisikike popote"

👹👹👹👹👹👹
 
👇👇👇👇👇👇

Kama hukuwahi kusoma hii, kasome hapa
 
Alaumiwe sana

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hoja hapa si kumlaumu Polepole, hoja ni motive behind their distraction!
Kumbuka huyu ni mtu
👇👇👇👇👇👇

Kama hukuwahi kusoma hii, kasome hapa
Robert Heriel wewe ni mmoja wa watu ambao wakiandika kitu humu JF huwa lazima nikisome hadi mwisho.Thanks
 
Kweli. Hii kitu ni mipango ya mumiani wa sukuma gang ndani ya ccm.
 
Kama ukiangalia sekunde chache baada ya kuacha kuongea aliangalia mbele kwa sekunde chache huku akiwa kimya na ametulia. Lkn mara tu baada ya kuangalia kulia kwake (nadhani kulikuwa na director wa ufedhuli huo) akaanza kujiyumbisha.
 
Mleta mada ni bado chuki na magufuli na wasukuma ndo inakuandama huna lolote kwa jinsi ulivyoandika hii post yako.
 
Nguvu kubwa sana inatumika kutaka kuchanja watu kinguvu

Ndugai anataka kulazimisha Askof Gwajima na Pole pole wachague ama Ubunge au kutochanjwa…hii si haki kulazimisha kuingiza watu Mkenge mlioingia nyie

Wengi waliochanja wana wasiwasi wa Covid kuliko sie Wajinga wajinga tusiochanja

Umechanja, unavaa barakoa kadhaa, unanawa kila dakika, unajitenga, unafanya Mazoezi lakin bado una hofu kuu

Sie hatuchanji, hatuvai barakoa, tunatemeana mimate vijiweni kwny ubishi, kwny Daladala tunabanana kama Kawa na Makonda wetu wanaoweka Tiketi mdomoni mkono mmoja kashikilia suruali inamvuka, mkono mwingine kashika chenji hatuna habari

Kila mtu apambane na hofu yake…wao Corona sie ugumu wa Maisha

Watuletee chanjo ya kukabiliana na life gumu waone kama tutabisha …
 
Kama hawawataki wasukuma wawahamishie nchi nyingine Kama wanaweza ili wabaki peke yao.

Complications za chanjo zitokee asukumiwe Msukuma? Wasukuma ni Kama maji.
 
Nguvu kubwa sana inatumika kutaka kuchanja watu kinguvu

Ndugai anataka kulazimisha Askof Gwajima na Pole pole wachague ama Ubunge au kutochanjwa…hii si haki kulazimisha kuingiza watu Mkenge mlioingia nyie

Wengi waliochanja wana wasiwasi wa Covid kuliko sie Wajinga wajinga tusiochanja

Umechanja, unavaa barakoa kadhaa, unanawa kila dakika, unajitenga, unafanya Mazoezi lakin bado una hofu kuu

Sie hatuchanji, hatuvai barakoa, tunatemeana mimate vijiweni kwny ubishi, kwny Daladala tunabanana kama Kawa na Makonda wetu wanaoweka Tiketi mdomoni mkono mmoja kashikilia suruali inamvuka, mkono mwingine kashika chenji hatuna habari

Kila mtu apambane na hofu yake…wao Corona sie ugumu wa Maisha

Watuletee chanjo ya kukabiliana na life gumu waone kama tutabisha …
Hawa jamaa baada ya kuona zoezi la uchanjaji limekuwa gumu,wanatafuta mchawi kila Kona.

Wao wasihangaike na hawa dagaa,watawaharibia maisha bila sababu.
Wao wangetafuta majibu ya Mzalendo Magufuli,aliyesema chanjo hazifai,mbaye clip zake zinazosambaa kwa Kasi Kama ugonjwa wa mlipuko.
 
Back
Top Bottom