Anayepaswa kulinda siri za harakati ya siri wa kwanza ni aliyekutuma, Sabaya yupo sahihi kuwalipua ambao wamemlipua

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Maisha ni harakati, na unapopewa kazi ya ujasusi ama kijeshi unapaswa kuhakikishiwa usalama wako na usalama wa taarifa zako.

Serikali ya Samia ilipaswa kumlinda Sabaya na kuhakikisha hafiki mbele ya mahakama za kiraia.

TISS fanyeni kazi yenu acheni kutumikishwa na wanasiasa, mlishindwa nini kunusa side effects?
 
Sabaya nampa bigup sana , serikali imefanya mission kama hzi nyingi sana, hata hvyo waliozifanya walihifadhiwa na kulindwa , mambo yamekuwa tofaut Kwa sabaya , kijana alijitoa kufanya missions ngumu CCM ishawah fanya , cha kushangaza high command wakamwacha adharaulike hata kama ningekuwa Mimi nisingeruhusu kufungwa wakat wahusika wakuu wapo , japo mwingine ashatangulia mbele ya haki ...!!!
 
Maisha ni harakati, na unapopewa kazi ya ujasusi ama kijeshi unapaswa kuhakikishiwa usalama wako na usalama wa taarifa zako. Serikali ya Samia ilipaswa kumlinda Sabaya na kuhakikisha hafiki mbele ya mahakama za kiraia. TISS fanyeni kazi yenu acheni kutumikishwa na wanasiasa, mlishindwa nini kunusa side effects?
Kwahiyo ulitaka TISS wamlinde huyo mhalifu? unataka kusema na Tisss washiriki? Hopeless kweli wewe. TISS ni mali ya yaifa la tanzania sio wahuni wachache
 
Sabaya nampa bigup sana , serikali imefanya mission kama hzi nyingi sana, hata hvyo waliozifanya walihifadhiwa na kulindwa , mambo yamekuwa tofaut Kwa sabaya , kijana alijitoa kufanya missions ngumu CCM ishawah fanya , cha kushangaza high command wakamwacha adharaulike hata kama ningekuwa Mimi nisingeruhusu kufungwa wakat wahusika wakuu wapo , japo mwingine ashatangulia mbele ya haki ...!!!
Sabaya mshamba. Alidhani Magufuli ataishi milele.
 
2773061_FB_IMG_1620925066257.jpg

Pale unaposikia Mafia Boss wako kafa.
 
Sabaya nampa bigup sana , serikali imefanya mission kama hzi nyingi sana, hata hvyo waliozifanya walihifadhiwa na kulindwa , mambo yamekuwa tofaut Kwa sabaya , kijana alijitoa kufanya missions ngumu CCM ishawah fanya , cha kushangaza high command wakamwacha adharaulike hata kama ningekuwa Mimi nisingeruhusu kufungwa wakat wahusika wakuu wapo , japo mwingine ashatangulia mbele ya haki ...!!!
Alizidisha ukichaa wa kutumwa na kutekeleza maagizo kifala sana, unaacha ushahidi wa waziwazi ambao haukwepeki.
 
Maisha ni harakati, na unapopewa kazi ya ujasusi ama kijeshi unapaswa kuhakikishiwa usalama wako na usalama wa taarifa zako. Serikali ya Samia ilipaswa kumlinda Sabaya na kuhakikisha hafiki mbele ya mahakama za kiraia. TISS fanyeni kazi yenu acheni kutumikishwa na wanasiasa, mlishindwa nini kunusa side effects?
Ni wajibu wako kuendelea kutunza SIRI hata kama waliokutuma wamekutuhumu kwa vyovyote vile.
Kitendo cha Sabaya kutoa SIRI ni kukiuka kiapo chake alichoapa kukilinda kwa gharama zote.
 
Jinga sana.Alilazimishwa?Alikuwa amelewa/alileweshwa?Maisha yake yalikuwa hatarini asingefanya huo unyamaume?Nani shahidi wake?Let another fag rot in the big house!
 
Maisha ni harakati, na unapopewa kazi ya ujasusi ama kijeshi unapaswa kuhakikishiwa usalama wako na usalama wa taarifa zako. Serikali ya Samia ilipaswa kumlinda Sabaya na kuhakikisha hafiki mbele ya mahakama za kiraia. TISS fanyeni kazi yenu acheni kutumikishwa na wanasiasa, mlishindwa nini kunusa side effects?
The lost you are lost

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Sabaya ni donda ndugu, Sabaya ni matusi kwa serikali ya CCM,Sabaya ni aibu kwa aliyemteua na kumlinda asiguswe pale alipokuwa akifanya yanayofanana na Maliamungu wa Uganda enzi za Iddi Amin.
Sabaya ni kichefuchefu,ni fedheha kwa taifa letu,je kuna akina Sabaya wangapi waliofanya kazi chafu katika kipindi cha awamu ya tano?
 
Jinga sana.Alilazimishwa?Alikuwa amelewa/alileweshwa?Maisha yake yalikuwa hatarini asingefanya huo unyamaume?Nani shahidi wake?Let another fag rot in the big house!
Unafahamu nguvu ya Rais nchi hii wewe? ama unaropoka tu. By the way SABAYA hakukamatwa na maadui wa nje waliomkamata ni walewale waliomtuma we ulitaka ajitete vipi?
 
Vyovyote iwavyo watu washachafuka tayari.

TISS wamechelewa sana kulinda hadhi ya viongizi hii ni aibu kwa Taifa zima!
 
Back
Top Bottom