Nini kipo nyuma ya ajenda ya UVCCM kuwa na jogging clubs?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Siku hizi Kila ukifungulia Chanel Ten habari utaona eti viongozi wakuu wa wilaya wakihamasisha vijana kukimbia mchakamchaka jogging clubs kuimarisha afya.

Swali la kujiuliza mikusanyiko hii Tena hawavai barakoa ni ya nini kipindi hiki cha maambukizi ya korona?

Pamoja na kwamba kufanya mazoezi ni Jambo jema lakini CCM kila wakifanyacho ujue kuna ajenda yenye hila ndani.

Huu ni mpango mkakati wa kijasusi kuelekea 2025 yangu macho mtaukumbuka huu Uzi japo nyuzi hufutwa sana siku hizi.
 
Ukitaka ujue Jambo hili la CCM lina hila ndani Basi fanya hivi;

Kwakuwa the so called uvccm wanavaa manguo yao ya kijani Basi chadema nao waige Jambo hili jema nao wawaandae bavicha jogging clubs halafu wawape fulana za Chadema Jambo hili pamoja ni jema CCM hawatakubali watashtaki kwa vikaragosi wao polisi halafu siro yule igp kada wa ccm atautangazia ulimwengu chadema wameanzisha jeshi.
 
Hivi vijoging vya uvccm fake ni maandalizi ya kitu flani 2025 take it from me kwasasa wanajificha nyuma ya pazia la kuimarisha afya.
 
Acha uvivu, na wewe fanya tu jogging uone manufaa ya kufanya mazoezi. Acha kuspin mazoezi, mazoezi ni mazoezi tu.
Haya mazoezi yangeanzishwa na makundi mengine katika jamii nisinge tia neno Ila sio ccm watu wenye hila na Nia ovu.
 
IMG-20210815-WA0001.jpg
 
Basi chadema anzisheni na ninyi yenu, muwaache ccm na yao.
Nakuambia ccm ni chama Cha hila za kishetani chadema wakianzisha chochote ambacho kina sura ya kumobilize mass watazuiwa na polisi kwa sababu mbalimbali 1. Korona 2. Kibali 3. Vikundi vya kigaidi 4. Jeshi kinyume na Sheria
 
Siku hizi Kila ukifungulia Chanel ten habari utaona eti viongozi wakuu wa wilaya wakihamasisha vijana kukimbia mchakamchaka jogging clubs kuimarisha afya.

Swali la kujiuliza mikusanyiko hii Tena hawavai barakoa ni ya nini kipindi hiki Cha maambukizi ya korona?

Pamoja na kwamba kufanya mazoezi ni Jambo jema lakini ccm Kila wakifanyacho ujue Kuna ajenda yenye hila ndani. Huu ni mpango mkakati wa kijasusi kuelekea 2025 yangu macho mtaukumbuka huu Uzi japo nyuzi hufutwa Sana siku hizi.
Ccm bila ya magufuli ni upumbaavu ..mafi ya kuku
 
Mkuu,

Tulikubaliana iwe siri sasa mbona umeanza kuwagutusha.

Mnyika naye awapongeze UVCCM kisha awaambie na BAVICHA waige hii misheni.
 
Ni jambo baya kwa vyama vya siasa kuwa na mambo kama haya...leo wakizuka Cuf jogging club, CDM jogging club, ACT jogging club kesho utasikia CCM restaurant, mara CCM pub mara CCM night club mara CDM shop, mara ACT church mara chauma Mosque, mara CDM road, mara CCM hospital, mara ACT football club.

Watanzania tutakuwa na shida mahala sio bure..
 
Back
Top Bottom