Askofu Kakobe: Ninapomwambia mtu atubu dhambi zake halafu akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Mtumishi wa Mungu na Askofu mkuu wa kanisa la Full gospel Bible fellowship, Askofu Zacharia Kakobe, amesema anapo mwambia Mtu Atubu dhambi zake halafu mtu huyo akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu.

Kakobe amesema mtu asijisumbue kumpiga vita kwani ameruka vihuzi na kukwepa mishale mingi mpaka umri alio fikia sasa.

Ameendelea kusema kuwa kuna watu walifanya sherehe na kupeana chiazi kuwa wame mmaliza Lakini wakashangaa kumuona Kakobe anaendelea kudunda tuu.

Ameyazungumza hayo ktk sherehe za uzinduzi wa Jukwaa la kumuhubiri Kristo kwa pamoja linalo undwa kwa pamoja na watumishi watatu ambao ni Mtume Dr. Fernandes wa Agape ministries, Askofu Sylvester Gamanywa wa Wapo international ministries na Zacharia Kakobe wa Full gospel Bible fellowship.

Hayo mawe ya Askofu sijui yatampata nani huko gizani ila ukisikia uwiii ujue limempata muhusika.
 
...mda si mrefu ataambiwa aonyeshe makabuli ya babu na Bibi zake kama kweli ni mwanakaya wa hapa..alafu mbona anaongea kwa mafumbo si afunguke anaogopa Nini wakati kila siku wanatuhubilia ukiwa na ulinzi wa yesu hakuna awezae kukugusa! au ndo kutupiga misadaka yetu kwa maneno ya kusadikika wakati wao wanamnyali jiwe na kokoto wake (bashite wake)
 
Mtumishi wa Mungu na Askofu mkuu wa kanisa la Full gospel Bible fellowship, Askofu Zacharia Kakobe, amesema anapo mwambia Mtu Atubu dhambi zake halafu mtu huyo akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu.

Kakobe amesema mtu asijisumbue kumpiga vita kwani ameruka vihuzi na kukwepa mishale mingi mpaka umri alio fikia sasa.

Ameendelea kusema kuwa kuna watu walifanya sherehe na kupeana chiazi kuwa wame mmaliza Lakini wakashangaa kumuona Kakobe anaendelea kudunda tuu.

Ameyazungumza hayo ktk sherehe za uzinduzi wa Jukwaa la kumuhubiri Kristo kwa pamoja linalo undwa kwa pamoja na watumishi watatu ambao ni Mtume Dr. Fernandes wa Agape ministries, Askofu Sylvester Gamanywa wa Wapo international ministries na Zacharia Kakobe wa Full gospel Bible fellowship.

Hayo mawe ya Askofu sijui yatampata nani huko gizani ila ukisikia uwiii ujue limempata muhusika.
Let us wait for the reaction from Lumumba!
 
Back
Top Bottom