Kama kweli idadi yetu inakaribia au imefikia watu milioni 60 basi kuna machache ya kuweza kusema. Na kama kweli kati ya hawa milioni 60 tuna karibu milioni 40 au hivi ambao ni watu wazima (kuanzia...
Tangu chaguzi za vyama vyingi za 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, na 2020 sababu kubwa wanayotuambia wapinzani kama sababu ya kushindwa chaguzi ni kuilalamikia TUME ya Uchaguzi kwamba sio huru hivyo...
KWA UCHACHE TU
1. Matatizo ya kisiasa hayatatuliwi kisheria.
2. Matatizo ya kisheria hayatatuliwi Kisiasa.
3. Suala la Katiba Mpya lina sheria na siasa. Mazungumzo yasiyo na hila ndani yake...
Nimewaza mengi leo kuhusu utawala wa CCM tulio nao na jinsi unavyoweza wafanya watanzania wa leo wajinga na tusioweza kuwaza mbali,
Viongozi wengi wamepita katika nchi hii kwa kila style na...
Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5.
Huu ni...
Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani...
Mheshimiwa imenipendeza nikuandikie waraka huu mchana huu Baada ya swala.
Binafsi nakupongeza na nimefurahishwa sana na ziara zako za hivi karibuni, ukiambatana na mheshimiwa mbunge wa Arusha...
Kuna mzimu fulani ndani ya CCM ambao una nguvu kubwa kuliko ambavyo mtu anaweza kufikiria. Mzimu huu haonekani wala hwezi kuushika. Lakini upo.
Mtu anapokuwa nje ya mfumo wa CCM na serikali yake...
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga...
Kutokana na CHADEMA kutangaza kupitia kwa Mnyika kuwa watu watoa mapendekezo ya akina nani watawakilisha CHADEMA kwenye tume katiba mpya, mimi napendekeza hawa.
1.Tindu Lissu-Huyu ni mtaalum wa...
Moja kwa moja kwenye hoja,, Marekani ni taifa lililo athirika Sana na Ugaidi. Na Ni nchi ambayo inapambana na magaini karibu dunia nzima, mfano ni Somalia( Al Shabab) Afghanistan (Tulban)...
Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo.
Kwa nini huoni...
Kufuatia mfululizo wa ibada zake na neno kuu "Corona", Askofu Gwajima amevutia idadi kubwa ya watu kumfuatilia kwenye mitandao huususan YouTube.
Mojawapo ya ujumbe wake ni kuishambulia Serikali...
Tangu tozo mpya zilipoanza nimesusa kutoa pesa kwenye akaunti yangu, chakushangaza Tigo wamekuwa wakinitumia ujumbe nitoe pesa vinginevyo wataifunga! Wakiifunga inamaana wao watakomba pesa yote...
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameangua kilio mahakamani akiomba huruma ya mahakama baada ya kudai kwamba kesi hiyo ni ya kupika Kwa sababu za kisiasa Kwa...
Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC.
Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA...
Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu...
CCM na Upinzani tuna cha kujifunza kwenye uchaguzi wa ZAMBIA
Nawasalimu kwa jina la demokrasia.
Leo nimeona nije na uzi mfupi kwa nilichojifunza kutokana na uchaguzi mkuu wa Zambia tarehe 12...
Kwanza nina declare position,
Mimi ni mwana CCM.
Tena ni mfanya biashara.
Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia.
Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.