Nauliza viongozi wote wa dini pamoja na ile inayojiita kamati ya amani iliyojitokeza kupiga marufuku matumizi ya neno mwendazake wako wapi muda huu ambapo polisi wameanza kuvamia makanisa na...
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe...
Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea...
Polisi wa Tanzania wanaendeleza dhihaka kwa Kanisa kubwa kabisa nchini na duniani RC kwa kuvamia kila mara kwenye ibada zake na kukamata waumini tena ibadani.
Cha kushangaza haya hayatokei SDA...
MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero...
Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya...
Utitiri wa kodi na tozo umenifanya nitake kujua,tunachangia maendeleo ya nchi au tunawachangia walioko madarakani waendelee kuishi vizuri?
1. VAT
2. Kodi ya majengo
3. Tozo kwenye mafuta
,4. Tozo...
Herehoa!
Kesi inayomkabili Sebaya vyovyote itakavyoisha, iwe Kwa kushinda Kwake au kushindwa kwake lakini imetoa funzo kubwa Kwa wenye mamlaka hasa Wale wanaopewa Amri na kuifuata.
Katika...
Polisi wenu wamemuachia HURU Bi. Neema Mwakipesile Sakalile baada ya mawakili wetu kupeleka Habeas Corpus mahakamani na kesi kupangwa tarehe 12/08/2021 (kesho) saa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji...
Straightly forward, kuna mgogoro wa kisiasa nchini au hakuna? Kama kuna migogoro ya kisiasa tinajengaje uchumi wa nchi? Umewahi kuona wapi inawezekana hiyo?
Kama hakuna mgogoro wa kisiasa ni...
Moo apewe wizara ya uchumi na mipango na Mbowe apewe wizara ya viwanda na uwekezaji.
Ndugu zangu mambo duniani yamebadilika Sana siku hizi,Ili ukuze uchumi wa nchi inahitajika uwe na watu wa aina...
Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake.
CORONA IMESABABISHA...
Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf), Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais Samia Suluhu Hassan akisimamia masuala ya utawala bora, kujenga demokrasia na uchumi shirikishi ataingia...
Cc: Andiko hili liwafikie wanasheria na wote wenye kuhusika.
Nchi yetu ina Katiba, sheria, kanuni, miongozo na taratibu — za ndani na za kimataifa.
Katiba yetu inatambua haki ya kuishi...
Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji...
Salaam.
Si humu tu, hata vyombo vya habari wa 'wataalam pori' wa 'kutaalamika kwenye vyombo vya habari' -- vyombo vya habari ambavyo vinanasibu ya kusokota habari ama kupinda ukweli wa jambo...
"Baba wa Taifa Julius Nyerere akisalimiana na Baba yake Mbowe Aikaeli Alfayo Mbowe Tuna Historia na Nchi hii nafikiri kipindi hiki kuna watu walikuwa wanachunga Mbuzi makwao" - James Mbowe
Nitakuwa wa mwisho kwa akili zangu kuamini kua Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe Freeman Mbowe ni GAIDI kwa sababu zilizo wazi kabisa. Mbowe hana chembe chembe za ugaidi na ni ajabu kuamini eti yeye...
RC wa DSM Amos Makala ametoa siku ya jumapili wiki hii kuwa siku ya chanjo kimkoa katika uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 10 jioni kwa Watu wote bila kuangalia umri na endapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.