Mheshimiwa imenipendeza nikuandikie waraka huu mchana huu Baada ya swala.
Binafsi nakupongeza na nimefurahishwa sana na ziara zako za hivi karibuni, ukiambatana na mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini ndugu Mrisho Mashaka Gambo. Hakika ushirikiano huu wa kikazi unapendeza na Mimi na wananchi wenzangu tunaamini ni jambo jema sana kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya Arusha mjini.
Sote tunafahamu kwamba mh. Gambo aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha na baadae mkuu wa mkoa wa Arusha. Hakuna asiefahamu kwamba aliwahi kutofautiana na viongozi wenzake wa serkali hapa Arusha kipindi akiwa mkuu wa mkoa, na pia iliwahi kuripotiwa kwamba ana mahusiano hafifu na viongozi wa serkali kipindi akiwa mbunge.
HIVYO TUNAAMINI USHIRIKIANO WENU HUU WA KAZI BAINA YAKO MKUU WA WILAYA NA MBUNGE NI TAA YENYE NURU AMBAYO HAITAATHIRI HAKI ZA WANANCHI NA MAENDELEO BALI ITAKUA NI TAA ITAKAYOMULIKA MAENDELEO NA UTATUAJI WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI BILA KUJALI JINSIA, HALI, IMANI NA ITIKADI ZAO.
Kama unavyofahamu, chini ya dahari hakunaga mwanadamu aliye mkamilifu. Inawezekana Kuna maamuzi tasa, ya uonevu ambayo walifanyiwa wananchi kwa Baraka za mh.Gambo kipindi akiwa RC. Nakushauri mheshimiwa uyafanyie kazi na uhakikishe wananchi wanapewa haki zao walizodhulumiwa kinyume na utaratibu ama kwa uonevu.
Mtangulizi wako alilianza hili zoezi kabla hajahama, tunaamini wewe utaliendeleza vyema haswa ikizingatiwa una uzoefu wa kazi, exposure, msomi na on top of that wewe ni mama. Kamwe usikubali double standards, wala ubaguzi katika kutatua changamoto za wananchi. Kwa vyovyote vile usikubali majungu Wala fitna dhidi ya wananchi wako, wewe tenda haki, NA USIKUBALI KABISA KUCHELEWESHA HAKI KWANI NI DHAMBI.
KUMBUKA UNAHUDUMU KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA SITA AMBAYO NI AWAMU YA HAKI NA RAISI WETU AMEJIPAMBANUA HATAKI KABISA DHULMA. UKIYAFANYA HAYA UTAPATA BARAKA KUTOKA KWA MOLA WAKO, NA PIA UTAKUA UMEIWAKILISHA SERIKALI VYEMA.
Hata hivyo nakupongeza Sana Kwa mashauri machache ambayo umeanza kuyatatua ya wananchi, kwa kweli umetenda haki, na hayo niliyokuandikia hapo juu ni ya kuongezea tu kama Ushauri Mimi Kama mwananchi mwenzako wa hapa Arusha. Na tunatambua kwamba mh. RAS Kihamia aliwahi kuwa mkurugenzi hapa na mh. Gambo alikua KIONGOZI wa juu kabisa hapa Arusha. Sidhani Kama hili linaweza kukukwamiaha wewe kufanya majukumu Yako ya kila siku. Ushauri wao mzuri wewe ufate na uufanye, usofaa achana nao. Build up your Legacy Madam.
2.Nakushauri ufanye kikao elekezi kwa maafisa wako wasaidizi Ili waendane na kasi Yako. Mh.week iliyopita nilishuhudia ukimwambia mwananchi amfate msaidizi wako aitwae Vicky amwandikie barua ya Wito mwananchi anaemlalamikia. Vicky alikua mkali Sana na alimgombeza Sana yule mwananchi, na sababu ni kwamba Vicky aliwahi kusikiliza hilo shauri lao na akawa anamtetea huyo mlalamikiwa ambae ni tapeli mpaka mh.Kenan kihongosi alipoingilia kati ndo akaanza kupewa haki. Vicky alikataa katakata kuandika barua hiyo na alimwambia kwanini alikuja na kwako tena kwa akimudhalilisha Sana hiyo mwananchi pale nje.
Na hii sio Mara ya kwanza Kuna siku ulimwita Enock aje ofisini mdiscuss swala la Mzee mmoja Vick alikuja pale nje akawa anakasirika ni kwanini Mzee yule wanasheria wamemleta kwako na umeanza kumsaidia, akamwita Enock pembeni akaanza kumwambia huyu DC anakuita sababu ya yule Mzee "msumbufu" na akawa kama anamlisha maneno ya kuja kumuumiza huyo Mzee huko ndani. (Huyo Mzee ni yule mfupi anavaaga boshori na malapa siku Ile ulimpa nauli).
Kwa kifupi malalamiko ya wananchi dhidi ya Vicky na yule kaka mweupe ambae anavaaga koti ni mengi ingawa yule kaka siku hizi amejirekebisha Sana. Enock Sijawahi kuskia, ni malalamiko ya kawaida tu. Hivyo kaa nao kikao Ili wasisababishe manung'uniko dhidi ya ofisi Yako. Yani Vicky yeye anateteaga na kuwaheshimu matajiri tu. We fanya tathmini wananchi wa chini wanamwogopa Sana, Kuna mwenzie pia alkua anaitwa Irene ndosi alkua mwanasheria na afsa tarafa siku hizi Yuko suye, Hawa ndo sifa zao.
3.Kuna kitengo hapo boardroom Cha wanasheria wa kujitegemea. Hawa nao mheshimiwa hebu wape semina elekezi. Sometimes unakuta mwananchi ameleta issue yake ndogo tu, wao they exagurate the matter, Ili swala liwe KUBWA lisipate suluhu kwa haraka, halafu wanashauri liende Mahakamani. Pale Sasa wanaelekeza kwenye law firm ambazo zitawapa commission kwa kuwapelekea kazi, na yule anaeshtakiwa nae pia anapata unafuu wa jambo kuendelea kukaa muda mrefu bila suluhu, maana mahakaman mh. SI unafahamu sarakasi zake? Nadhani hii sio afya kwa ofisi Yako na sidhani kama hayo ndio malengo ya kuanzisha hii department. Niliwahi kukuta wananchi wanalalamikia hili, na wakilalamika wanalalamikia ofisi ya DC huku wewe kwa asilimia mia moja Wala hata huna habari.
4. Mwisho kabisa ni hao P.S wako hapo, Oliver na yule mama. Nimeshashuhudia barua zinapotea hapo, hata majuzi nilikuta ustadh mmoja analalamika sana barua imepotea. Ongea nao, tena washauri wawe na kauli njema kwa wananchi, waache kudemka, wawakaribishe wananchi vizuri wawaelekeze kwa amani, hawatopungukiwa kitu. Hiyo ni ofisi ya serikali.
Kwa Leo ni haya tu, nimeandika hapa kwasabu naamini huu ni uwanda mkubwa na naamini wewe ni amongst great thinkers wa Tanzania, lakini usipoiona wewe kuna watakaoona watakupa utasoma. DAIMA chukulia haya very positive, Sina ubaya na wewe Bali nataka ufanikiwe Sana sababu WANAWAKE wanaweza.
BAHATI KUBWA ULIYO NAYO NI KUFANYA KAZI NA BOSS HUYU MKUU WA MKOA MH.MONGELA. BINAFSI NAFAHAMU ALKUA DC HAPA KABLA YA GAMBO. NI KIONGOZI ALIYEIVA, ASIYEYUMBISHWA, MSIKIVU NA MTENDA HAKI. UWE PIA UNAENDA KUCHUKUA NASAHA KWAKE. HUWEZI KUTA COMPLAIN ZA HUYU MKUU SABABU HE IS A GOOD LEADER.
Once again nakupongeza kwa ulivyoanza sofar so good. Nakutania mafanikio mema na KAZI iendelee.
Wabilaah Tawfiq
Wasalaam waleykum warahmatulah wabarakatu.