Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza nina declare position, Mimi ni mwana CCM. Tena ni mfanya biashara. Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia. Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi...
26 Reactions
66 Replies
6K Views
Huu uharamia wa kodi mpya za miamala ya simu unapaswa kusimama. Wanasheria wetu mtusaidie hili. Hakuna kitu kinachoitwa sijui "kodi ya uzalendo" — Lazima Mahakama iweke ZUIO la hizi kodi za...
26 Reactions
123 Replies
9K Views
Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema . Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hayupo ambaye hajavishuhudia vimbwanga vya askofu Gwajima kuhusiana na Corona na Chanjo zake. Hadharani tuhuma za Gwajima kumhusu mheshimiwa Rais na wasaidizi wake zimesikika. Haya yakiendelea...
7 Reactions
90 Replies
9K Views
Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma...
15 Reactions
46 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa. Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar...
6 Reactions
90 Replies
7K Views
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma. Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu Hii ilitokea kwa Nelson Mandela. Ikatokea kwa maalim Seif Imetokea Zambia Na labda itatokea kwingineko duniani. Wanasiasa wanaohubiri Upendo na Amani wakiwekwa jela kwa muda...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilidhani serikali hii itakuwa smart kwenye kushughulika na Gwajima (Mchungaji) lakini kitendo cha waziri wa afya kuagiza mchungaji huyo akamatwe badala ya kujibu hoja zake kinaendelea...
34 Reactions
146 Replies
12K Views
Habari wadau wa JF Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19. Tukiangalia mtaani vifo vimekuwa vingi lakini hatujui chanzo chake nini...
4 Reactions
65 Replies
5K Views
Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI. Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa...
13 Reactions
26 Replies
4K Views
Amemsifu sana Magufuli na kusema. Nchi imenyooka, watumishi hewa wameondolewa, rushwa imepungua sana, ufujaji wa fedha za umma umekwisha, n.k. Kusema kwamba "vyuma vimekaza" haina maana. Maana...
5 Reactions
101 Replies
12K Views
Katika uteuzi wa Wakurugenzi kuna jumla ya wakurugenzi 69 wa zamani wameachwa. Wakurugenzi hawa walio achwa ndio wale walio tumia nguvu nyingi kuhakikisha kwenye maeneo yao wagmbea wa ccm...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai lengai ole sabaya amekana kumtambua mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro aliyemwapisha baada ya kuteuliwa Kwa kuieleza mahakama kwamba kesho yake ndo alijua kuwa...
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Mtafanya nini zaidi ya kuacha mafarakano? Maana taifa lina hitaji amani na mshikamano. Sheria imefuata mkondo, mwamba yupo mahabusu. Hapa ni kusubiri sheria ifuate mkondo. Hakuna haja ya kuwa na...
0 Reactions
7 Replies
753 Views
Enzi za JK kulikuwa kunaibuka Agenda tata sana mwenyewe anasafiri zake kama mwezi watu wanaongea wanapambana wao kwa wao kila mtu anakuwa na mtizamo wake. Siku anarejea waandishi kibao airport...
40 Reactions
73 Replies
8K Views
Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea. Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio...
34 Reactions
102 Replies
7K Views
Back
Top Bottom