Tanzania hakuna CoronaJuzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
Ukiona hivyo ujue hakuna cha corona wala nini! Mungu ni mwaminifu alituponya!Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
JamiiForums waweke option ya ku comment kama anonymous. Ili watu wafunguke ukweli kwasababu licha ya kutumia I'd fake bado wanaogopa.Wazo zuri sana...
Kama iliwezekana kusitisha mwaka ule kwa sababu ile. Kwa nini isiwezekane kusitishwa mbio za mwenge mwaka huu kwa sababu hii kubwa ya Covid21?
Hhahahaa mkuu huu mwandiko umenikumbisha shule somo la lugha mada fasihi. HahahahJamii forums waweke option ya ku comment kama anonymous. Ili watu wafunguke ukweli kwasababu licha ya kutumia I'd fake bado wanaogopa.
Ila this time mchungaji na wazee wa kanisa wameshapokea msaada wa ujenzi wa sehemu msikiti, na nyumba zao lakini sharti ya msaada waumini watolewe kafara ili kuongeza sehemu ya kufanyia mhadhara hawa watoa misaada.