Rais Samia, jipunguzie kazi kwa kumuweka Makonda au Nape kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:

Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.

Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
 
Kwani kuna chokochoko?? Mama hana muda wa kupumzika?? Unataka Simbachawene atolewe? Utasubiri sana
 
hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule........isipokuwa raisi tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:

Makonda umeamua kuomba kazi kwa kujianzishia uzi?
 
IMG_20210527_183902.jpg
 
Kwani kuna chokochoko?? Mama hana muda wa kupumzika?? Unataka Simbachawene atolewe? Utasubiri sana
Ulinzi unafraid 100% huyo! Mangalore vzr......busara zimo, mdomo wake unaweza kusubiri kuongea n.k
 
hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule........isipokuwa raisi tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:

Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.

Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Ni sahihi kuna kipindi unahitaji watu wa hivyo Ili Nchi iende kwa sababu tumefika mahala kila mtu ana sharubu na anaweza kutoa tamko,kupinga nk

Kwa sasa nikiangalia ni kama Serikalini haina nidhamu au kuna watu wanesusa
 
Back
Top Bottom