RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,475
- 1,672
Moja kwa moja kwenye hoja,, Marekani ni taifa lililo athirika Sana na Ugaidi. Na Ni nchi ambayo inapambana na magaini karibu dunia nzima, mfano ni Somalia( Al Shabab) Afghanistan (Tulban), Syria(IS). n k.
Sijawai ona any American diplomat ambaye aliudhulia kesi ya mtu anayetuhumiwa kwa Ugaidi,,iki kitu nimekiona Leo kwa Mbowe. Yaani hawa Mabeberu wanajua Mbowe anatuhumiwa kwa mashtaka hatari lakini bado wanakuja kisutu kuhudhuria kesi yake.
My question is,, Hawa Diplomats wanatupa picha gani juu ya hizi tuhumu za Mbowe.
Welcome
Balozi wa Mareka na Mabalozi wengine wa nchi tatu wakiwa wameongozana na Mawakili wao, wamefika mahakama ya hakimu mkazi kisutu Leo kufuatilia kesi ya Mh. Freeman Mbowe, hata hivyo kesi hiyo imehairishwa hadi tarehe 27.8.2021.
Baadhi ya watu ikiwemo maafisa wa EU, Balozi za Marekani, Uingereza, Sweden na Ujerumani nchini Tanzania, leo Ijumaa, wakitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe