Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa. Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ninajiuliza, kama mwanzo kodi hizi zilikua zinalipwa na wamiliki wa majengo, imekuaje mzigo huu utupiwe kwa wapangaji? Hii ni haki siyo uonevu? Kwanini nisifikiri kuwa viongozi wetu huko juu ndio...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna kitu najiuliza hapa. Makao makuu kuwa Dodoma ni uamuzi uliofanyika mwaka 1973 baada ya kutolewa amri ya rais kwa maandishi (Presidential decree) namba 230 ya mwaka 1973. Na hiyo amri...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Thursday August 19 2021 Na Daniel Mjema Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
The Diplomat Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama Waziri wa Usafirishaji yupo humu au kuna mtu anaweza mfikishia ujumbe huu, latra ambao walikuwa Sumatra zamani , wamekuwa wababaishaji na wasubufu. Kwanza hawafanyi kazi kwa weledi ,pili...
2 Reactions
1 Replies
650 Views
Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Z'bar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe...
9 Reactions
56 Replies
5K Views
Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
19 Reactions
138 Replies
10K Views
Serikali haina mamlaka ya kusajili dini ni kinyume cha katiba ya nchi kifungu cha 19 hiki hapa nanukuu 19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika...
5 Reactions
65 Replies
7K Views
Kukosewa kwa jina la tatu la mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha Lengai Ole Sabaya, kumesababisha malumbano ya kisheria na kuahirishwa kesi kwa muda. Katika hati ya...
1 Reactions
138 Replies
15K Views
Mabibi na mabwana elimu haina mwisho na katika zama hizi za "Delta Variant" kujikita "ki-dijitali" ni muafaka zaidi. Tunapoikodolea macho katiba mpya ni muhimu tukajiridhisha kuwa tunafahamu yote...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
"Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa...
8 Reactions
416 Replies
30K Views
Ndugu wanabodi, Nimefwatilia Kwa kina mijadala hii ya Tozo na Kodi ya majengo Niseme machache! Tulipe kodi kwasababu Kodi ndio msingi wa maendeleo yetu,bila Kodi nchi Itakua ngumu sana hii,hizi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki. Mungu ni mwema wakati wote! --- Wanachama 19 wa Chadema...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
17 July 2021 Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI...
4 Reactions
152 Replies
15K Views
Nauliza viongozi wote wa dini pamoja na ile inayojiita kamati ya amani iliyojitokeza kupiga marufuku matumizi ya neno mwendazake wako wapi muda huu ambapo polisi wameanza kuvamia makanisa na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe. "Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe...
7 Reactions
141 Replies
13K Views
Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Polisi wa Tanzania wanaendeleza dhihaka kwa Kanisa kubwa kabisa nchini na duniani RC kwa kuvamia kila mara kwenye ibada zake na kukamata waumini tena ibadani. Cha kushangaza haya hayatokei SDA...
22 Reactions
134 Replies
12K Views
MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Back
Top Bottom