Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.
Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo...
Ni kawaida tena ni protokali kwa makamu wa rais kuwepo uwanjani kumwaga rais anapokuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kwani hapo ndipo tendo la kukaimishana madaraka hufanyika. Lakini hilo...
Wana JF, Mambo ya 25 percent ya Pension yameongelewa sana humu ndani na kundi Fulani likilaumu serikali. Je watu wanauelewa na elimu ya Mafao (Pension)?
Je watu wanafahamu misingi ya uendeshaji...
Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO...
Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja
Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na...
Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi.
Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala...
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?
Leo 15:15hrs 14/05/2021
Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania...
Hehehee!
Mwafikiri iliisha. Hehehe. Siye tupo kimya mwatapatapa. Kila Siku mwamaliza mate kwenye vipaza sauti. Mayii! Mtaita maji muma hahahaha!
Yuda ni nyie mliosaliti wanaichi na kuwasulubisha...
Mhe. Rais uliongeza Pensheni kwa Wastaafu hivi karibuni na wote tulipongeza sana. Mhe. Rais cha kusikitisha sisi Wastaafu tunaopokea pensheni zetu za kila mwezi kwa asilimia 100 kutoka PSSF...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza ziara ya siku tatu nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, ambapo atafanya mazungumzo rasmi na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, pamoja na...
Chadema mlitaka nchi isitawalike leo hii mnaomba maridhiano!? Mmekuwa Malaika au Shetani yule yule kabadili staili!?,miaka minne mmetumia nguvu zenu zote kupinga maendeleo ya Tanzania,leo mnaomba...
Kwa namna My Mbunge huyu wa Visiwani alivyoongea ni dhahiri hakuna maelewano kati ya Rais na Makamu Wake na kati ya Viongozi wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Maneno ni makali hata wabunge wameogopa...
==
Hiki ndicho aliachoandika Kwa Ufupi Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukarasa wake wa X zamani Tweeter soma kwa makini,
Akirejelea ripoti...
Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali.
Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja.
Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu.
Umewapa hela za...
Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa...
Ukifanya tathmini hiyo huku ukiangazia kukimbia kwa Assad Nchini Syria, kutekwa kwa Maduro kulikofanywa na Delta force, halafu angalia kuteketezwa kwa viongozi wote wa juu wa Iran akiwemo Dikteta...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Tayari Ile Mikutano ya Operesheni KATIBA MPYA, FREE LISSU, imeingia Kanda ya Kusini
Timu ya Viongozi wa Chadema tayari ishatia timu Kilwa Kivinje, ambapo kesho...
Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.