Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho...
Wanabodi,
Jana tulishitushwa na habari ya kufilisika kwa kampuni ya Sahara Media Group, ambayo kampuni wamiliki ni wa kituo cha T cha Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, hivyo na mimi japo sio...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amefanya ziara mkoani Katavi kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa mkoani humo ikiwemo ujenzi wa shule na hospitali na kuelezea mafanikio yaliyofanyika katika...
Wakuu,
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga Februari 27, 2026 limeazimia kwa pamoja kutokuwa na imani na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo kufuatia tuhuma za...
Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Songambele (Nsimbo)-Katavi
🗓️Machi 15, 2026
————————————
Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya...
WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI
▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali
▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji
▪️Akemea...
Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran,
Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na...
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameagiza wakandarasi wote wanaopewa miradi ya serikali waliolipwa fedha zao zote kisha wao hawawalipi mafundi (sub contractors) wasakwe, wawekwe...
Tanzania imefungua vizuizi vya utafutaji wa mafuta ndani ya Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa makubwa zaidi ya maji safi duniani yaliyyo kati ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za...
Wanabodi
Leo tumemuaga mwana tasnia ya habari, Dennis Busulwa kwa jina maarufu la Ssebo
Hii ni Tribute yangu to Dennis Busulwa (Ssebo), aliiheshimu sana TCRA na kuiita Baba!. Alitamani TCRA...
Wakuu,
Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kwamba Katiba inayotumika sasa ilitegnenezwa ndani ya wiki 2 tu na ilitengenezwa na watu 20 pekee...
Ndugu wanajamvi nauliza hivi baada ya tukio lililotokea hapa mpanda mjini jioni hii.
Leo kulkuwa na pambano la mpira wa miguu kati ya POLISI KATAVI na KAWAJENSE ambapo polisi walishinda 1 bila...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa...
Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI
MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua...
Wanabodi
Leo Tunampumzisha Prof. COSTA RICKY MAHALU, alikuwa ni Wakala wa Mungu hapa Duniani!, aliokoa maisha yangu jijini Rome nchini Italy!.
https://youtu.be/8PEJcraoh5w?si=mNUUwWAPT2J2F6bq...
Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media...
Siku moja inasemekana aliwaza jambo la ajabu sana. Aliita baraza lake la mawaziri na kuwaambia kuwa anafikiria kubadilisha jina la nchi ya Uganda liitwe “Idi.
Ukumbi ukatulia kimya.
Mawaziri...
Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana..
Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.