Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,964
- 2,191
Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima! (JUMATANO NYEUSI).
Iwe ni CCM au upinzani watakaokuwa madarakani..mliopo madarakani sasa mtatumika kama kielelezo cha mauaji na ukatili wa KINYAMA kuwahi kutokea Afrika mashariki.
Hii ni kubwa sana, hauwezi funika kombe mwanaharam apite kwa kuua ndugu zako kwa risasi za vita kulinda maslahi ya watu waliokataa reforms ili uchaguzi uwe wa huru na haki wao wabak madarakani na maslahi yao!
Bilive me idadi halisi ya waliouwawa itapatikana, ndani ya wiki mbili bila tume wala nini watu wakihamasishwa watazungumza!
Kuua na kuteka itawapa faraja kwa muda tu na kuongeza hasira kwa watu wengi...ila muda unakuaga na majibu yote!
So as time lapses, truth comes nearer!