Habari !.
Kwa wewe ambaye unataka kuwa Rais, nipo hapa Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Ajira
Muda ukifika utanishtua. Sitagombea Ubunge nakupanga kabisa. Mimi nitapitia zile nafasi 10 sawa...
Akizungumzia sifa za mtu kuteuliwa kuwa balozi nchini Tanzania, mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia (Dr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations) na mchambuzi wa masuala ya uhusiano wa...
"Na sasa inageuza kwamba shughuli inakuwa uchaguzi badala ya shughuli zile ambazo zinafanywa na uongozi unaopatikana. Na kwa sababu hiyo, pana mantiki ya kuliangalia upya..."
"Tuendelee kusimamia...
Dira ya Maendeleo 2050 inahitaji rasilimali, teknolojia na ushirikiano wa kimataifa wa hali ya juu. Urusi ina uwezo wa kutoa mchango mkubwa katika kufanikisha Dira hii. Ziara ya Rais Samia...
ANAANDIKA AYOU RIOBA , MSTAAFU TBC ANAYEKULA MAFAO KWA MRIJA:-
Ziara ya Rais SSH Urusi ni muhimu sana, hasa tukizingatia historia ya mataifa yetu!
Ninafahamu fika kwamba ndugu zetu mabeberu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa,usishindane na Mbarikiwa, usishindane na Aliyeinuliwa na Mungu , usishindane na Chaguo la Mungu , usishindane na aliyepewa kibali...
Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala...
Wameshindwa kuimaliza CHADEMA.. CDM Imeibuka na kuwa
Chama bora zaidi
Chenye nguvu zaidi
Chenye ushawishi zaidi
Chenye kupendwa zaidi
Wao wameguekana sasa.. Wanafitiana uwani na kuhitilafiana...
Tumesikia wanzanzibari wakimwita makamu wa Raisi Yuda na eti ana jipendekeza kwa kivuli cha marehemu Magufuli. Lakini wanasema Magufuli alimpeleka nchi za mbali.
Sasa uyuda ni kupinga utekaji na...
Kuna tabia moja ambayo imeharibu maisha ya watu wengi kuliko ukosefu wa elimu, mtaji au hata fursa.
Tabia hiyo ni:
KUWALAUMU WENGINE KWA KILA KITU.
Watu wengi hawataki kuwajibika kwa maisha...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amesema;
"Wameanza kwenye mikoa mingine. Lazima tuwe macho kama vijana wa CCM. Kwa maana ya...
Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge...
Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ?
Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu...
Kauli za Mbunge Simai Mohammed Said zinaonekana kuwa zaidi ya shambulio la kawaida la kisiasa; zinaashiria mvutano unaoweza kuwa unaendelea ndani ya CCM kuhusu siasa za urithi wa uongozi na...
Dunia imegawanyika katika pande kuu mbili, mataifa ya Magharibi (US, EU, UK) na Mashariki (Urusi, China, North Korea, nchi za Kiarabu. Kila upande una mitazamo yake kiuchumi, kiulinzi na...
"Tusiseme hatuna matatizo kwa kuyaficha matatizo yetu wenyewe. Ujasiri wa taifa hauko katika kuficha kasoro zake, bali katika kuzikubali na kuzitatua."
Mwalimu J K Nyerere.
Chei chei
Ukinuna nuna ila hakikisha haujidhulu
Dua ni moja kwa moja URUSI.. alipo MAMA SAMIA SULUHU.. namuombea akamilishe salama majukumu yake ya kinnchi na arudi na afike salama Tanzania
Sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.