Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Tanzania, Balozi Ombeni Sefue, amemshauri Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuacha alama ya kudumu kwa kuunda mfumo jumuishi na...
Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 100 ili zikamilishe Ujenzi wa Makumbusho ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli yaliyopo Chato Mkoani Geita.
Makamu wa Rais wa Tanzania...
Makamanda mlisema ICC wanakuja, najiuliza wanatumia Usafiri wa Punda? Kila nikiingia mtandaoni sioni kama wamefika au laa!
Makamanda hebu tuliweke sawa hili jambo lipo au ni Chai tuu maana hata...
Ile ndoto ya Tanzania kujitegemea kiuchumi imetimia chini ya Rais Samia ambapo Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Nchi,tumekata utegemezi wa misaada Kwa Mabeberu Hadi asilimia 0.9%.
Ndio...
Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja.
Huwezi kufanya mapinduzi Zanzibar Sababu Zanzibar zio dola huru.
Iweje Mtanganyika akiagiza mafuata ya kupikia kutoka Zanzibar alipe ushuru na kodi?
Samia suluhu hassan, sio tu anaweka rekodi ya kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa kwanza mwanamke lakini pia anakuwa mzanzibar wa pili kushika wadhifa huo baada ya mzee wa...
Wakuu,
Akizungumza wakati akikabidhi Ripoti ya Tume hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026...
By Twaha Mwaipaya
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1.TAA
2.TCRA
3.PPRA
4.BRELA
5.EWURA
6.TACAIDS
7.SUMATRA
8.TANROADS
9.TAKUKURU
10.TRA.
11.MKUKUTA.
12.MKURABITA.
SAMIA...
SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi...
Mwananchi huyo ametoa kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29...
Israel na Iran si Maadui Bali Tatizo viongozi
Tena Israeli halisi inapaswa kuwashukuru na kuwaenzi Wairani. Maana zamani hizo za wakati wayahudi wanatawaliwa na babeli (Iraq), mfalme wa...
Sehemu ya majibu ya SSP Notker Kilewa wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa BOMBA FM ya MBEYA, MC Kamendu, ambapo alimuuliza “Ikiwa msafara wa Rais unapita na gari la Wagonjwa liko njiani kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, ili kuelekea mkoani...
Katibu Mkuu wa Taasisi ya Twariqa, Sheikh Haruna Hussein, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kutumia kipindi cha baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufanya dua na kuliombea taifa...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi...
Yooote yanakwenda na mtaro wa maji machafu as long as maisha ya watu hukuyapa thamani na ukayapoteza.
1. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha Magufuli
2. Where is Ben Saanane
3. ......And many...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu amekamatwa jioni ya Marchi 17, 2025 pamoja na viongozi wa Ngome ya Wanawake na wa Mkoa wa Kagera wakati ya misa ya kumuombea Marehemu Dafroza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.