Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya...
Wakuu,
Polisi wameongezeka jijini (Dar es Salaam) kuliko kawaida, maeneo karibu na Mahakama Kuu na sehemu walikokinukisha idadi ya polisi wenye silaha imeongezeka kwa wingi, mpaka wananchi...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, ameshiriki katika Mkutano wa Tano wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission - JPC), kati ya Jamhuri ya...
13 March 2026
MAHAKAMA KUU TANZANIA YATUPILIA MBALI KESI DHIDI YA TUME YA JAJI CHANDE YA KUCHUNGUZA KILICHOPELEKEA MAANDAMANO NA MAUAJI YA OKTOBA / NOVEMBER 2026
Kesi Nambari 30210 / 2025 dhidi...
UAE President His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan today received a phone call from Her Excellency Dr Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, who expressed...
Makubaliano hayo yatajikita katika,
Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha...
Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama...
Nyoka aibuka ghafla kwenye mkutano wa Waziri Mkuu. Ni wakati mama mmoja akieleza namna binti yake alivyouwawa huko Sumbawanga na kuzikwa kimya kimya na familia ya mwanaume aliyekuwa akiishi na...
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
Kwa nini iwe Nchimbi? Na isiwe CCM iliyojirekebisha?
Kwamba Nchimbi akipewa urais 2030 hali ya mambo itakaa sawa? Ufisadi utaisha? Nepotism itaisha?
Kwa nini Nchimbi ndio aonekane kuwa ndio...
Chama cha Denokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, kikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana naye, Parfait...
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum...
Geneva, Uswisi. Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Women in Social Entrepreneurship, Dkt. Astronaut Bagile, ametoa wito kwa Serikali, wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wananchi kwa ujumla...
Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni.
Kwa hii serikali haramu sishangia kusikia star tv...
Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea, Hodi Mkoa wa Katavi.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ni kilio cha wasanii kila kona.. Wamekumbuka shuka kumeshakucha.. !
Hakuna drama tena
Hakuna new followers tens
Hata wanaotoa nyimbo mpya hazi hit tena! Ni kilio na mahangaiko.. Gen Z...
Mutungi akiwa Msajili wa vyama vya sasa alinyamazia KILA uchafu ulipangwa mapema kwa lengo la kuvuruga Uchaguzi
Huyu alijua njama zote n.a. uchafu wote akishirikiana n.a. Kailima n.a. Mwambegele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.