Tundu Lissu: Sisi hatulazimiki kutumia Baraza la vyama vya siasa kukutana na Rais Samia. CHADEMA ni Chama Kikuu cha Upinzani!

Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema chama chake hakilazimi kutumia Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan

Lisu amesema Chadema ni chama kikuu cha upinzani na kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria na katiba.

Source: VoA Swahili
Baraza la vyama vya siasa ni CCM B tupu,hakuna asiyejua hayo maigizo-Only fool can not.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema chama chake hakilazimi kutumia Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan

Lisu amesema Chadema ni chama kikuu cha upinzani na kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria na katiba.

Source: VoA Swahili
Halazimiki lakini Pia kulazimisha atafutwe na mamlaka huku Bado anataka kuthibitishiwa ulinzi nk

maana hapo atakua beyond diva

kila mtu ashinde game zake tu
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema chama chake hakilazimi kutumia Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan

Lisu amesema Chadema ni chama kikuu cha upinzani na kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria na katiba.

Source: VoA Swahili
Huyu nae sisi tunahangaika na tozo za miamala kwenye simu na Luku yeye kakazana tu na SACCOS yao. Ningemuona wa maana kama angejaribu kuzungumzia hizi tozo ili kuonyesha anawajali wananchi!
 
Yuko sahihi
 
Wao waendelee kujivunia uchama kikuu cha upinzani, sie kukutana na chadema ni kuweka rehani ulaji wetu huo Muda mchafu hatuna. Karibuni ccm tuitafune nchi wapendwa.
 
Baraza la vyama vya siasa nI wasaliti wa upinzani wanaotumika na maccm.
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema chama chake hakilazimi kutumia Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan

Lisu amesema Chadema ni chama kikuu cha upinzani na kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria na katiba.

Source: VoA Swahili
 
..kuvikusanya vyama vyote vya upinzani ktk mwamvuli wa baraza la vyama kisha wakaonane na raisi sio sahihi.
 
Huyu nae sisi tunahangaika na tozo za miamala kwenye simu na Luku yeye kakazana tu na SACCOS yao. Ningemuona wa maana kama angejaribu kuzungumzia hizi tozo ili kuonyesha anawajali wananchi!
Kwani nyie maccm hizo tozo zinawahusu?
 
..kuvikusanya vyama vyote vya upinzani ktk mwamvuli wa baraza la vyama kisha wakaonane na raisi sio sahihi.
Kwamba kwasababu kuna vyama vya siasa zaidi ya 20, sasa Rais aanze kufanya kazi ya kukutana na chama kimoja kimoja ???
 
Back
Top Bottom