Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uhiari wa chanjo ya COVID-19 uendelee kuheshimiwa. Maisha ya mwanachama wa chama cha siasa sio mali ya chama. Kwa CCM (au chama kingine chochote) kuweka msimamo wake kuhusu hii chanjo...
1 Reactions
6 Replies
941 Views
Never and never again. Isitokee tena milele na tukaze buti, tufunge vibwebwe kudai katiba mpya Nimesoma kwa tafakuri tangazo la kusitisha uchapishaji na usambazaji wa vitabu vya historia ya...
180 Reactions
495 Replies
37K Views
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha...
21 Reactions
101 Replies
10K Views
Natafakari tu kwamba REA wamepeleka umeme vijijini lakini wananchi awautumii, waliweza kumudu kuwasha taa chache ndani na kwa muda mfupi saa yaani saa moja Hadi saa nne usiku then ukipita vijiji...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza, siku zote mzee wa Upako huwa upande wa serikali. Lakini leo ameamua kuvunja ukimya na kuinyoshea serikali kidole tena kwa ukali kuwa ijihadhari isije kuharibu amani ya...
50 Reactions
280 Replies
24K Views
Mimi ni binadamu nimeumbwa kwa hofu ya Mungu sipo tayari kuishi kwa kuhukumiwa na nafsi yangu mwenyewe maana siwezi kuikimbia nafsi yangu, napenda kutumia fursa hii kumuomba Mungu msamaha kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwigulu umeitisha press na moja ya kitu ambacho kimetushangaza ni kusema kuwa Hali ya watu kufanya miamala bado ipo vilevile pamoja na ongezeko la tozo. Ilaa mbona namba zinakataa? Umesema...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
UJENZI WA VITUO VYA AFYA 150 NA UKAMILISHAJI WA VYUMBA VYA MADARASA 560 KUTOKA KATIKA TOZO YA MAWASILIANO Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepokea fedha kutoka katika tozo ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kesi ya Unyang’anyi wa kutumia Silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ,Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili Leo imeshindwa kuendelea baada ya mabishano makali ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
NCCR Mageuzi imeungana na CHADEMA kugomea mwaliko wa Tume ya uchaguzi kuhudhuria hafla ya usomaji wa ripoti ya uchaguzi mkuu wa 2020. ACT wazalendo bado wanatafakari. CUF mhhh.... Mungu ni...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni taarifa ya wana diaspora kumuaga… Karibu tena Dr Slaa tujenge nchi.
10 Reactions
125 Replies
14K Views
Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao? Kwa...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi. ========= Kaimu Katibu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
RATIBA YA UVCCM GREEN CUP Ndugu zangu salaam kwenu viongozi wenzangu. Naomba kuwapa Ratiba ya mashindano yetu ya UVCCM GREEN CUP ambayo yatafanyika kwa MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU(Kwa Vijana wa...
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu...
17 Reactions
84 Replies
7K Views
Kimya mzee wa watu! Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu. Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Baada ya kusikiliza hii press ya mawaziri watatu yaani Dkt. Mwigulu Dr. Ndugulile na Ummy Mwalimu nashawishika kusema ni vema wizara ya mipango ikajitegemea. Sijaona uratibu unaoshawishi kisomi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom