CHADEMA, ulinzi kwa viongozi wenu una dosari kubwa

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,551
2,000
Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika.

- Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu alipopigwa risasi 32 Dodoma inaonyesha Mh. Tundu Lissu hakuwa na ulinzi wowote wa chama chake na kama kungekuwa na gari ya walinzi wake basi wasiojulikana wangeweza kujulikana siku ile kwani walinzi wa Tundu Lissu wangepambana na wasiojulikana hata kulifahamu au kulizuia gari lao ingewezekana

- Suala la Mbowe kukamatwa Mwanza

Hili tukio nalo ni ushahidi tosha kuwa siku ya tukio hakukuwa na ulinzi wowote wa CHADEMA kwa mwenyekiti wao kwani kitendo cha jeshi la polisi kuvamia gesti na kujua Mh. Mbowe kalala chumba namba ngapi na kwenda kuvunja mlango na kumchukua kirahisi bila kuambiwa sababu za kumchukua ni ushahidi tosha wa kuwa ulinzi wa viongozi wa chama kikuu cha upinzani upo chini sana.

Kwa matukio hayo mawili CHADEMA mnapaswa kuimarisha idara yenu ya intelijensia kama kweli mna nia ya dhati ya kuwalinda viongozi wenu.

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,892
2,000
Hvi Chadema hasa ni Nani? Utaskia Chadema jifunzeni, Chadema Fanyeni hvi, Chadema bla blah. Who is chadema ambaye yupo responsible na malalamiko!
 

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,581
2,000
Kweli ipo haja,je huo hautakuwa mwanya wa wanakijani justify tuhuma zao bambikizi,msaada kwa wajuzi wa mambo kuhusiana na wazo la mjumbe.
 

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,581
2,000
Hvi Chadema hasa ni Nani? Utaskia Chadema jifunzeni, Chadema Fanyeni hvi, Chadema bla blah ....who is chadema ambaye yupo responsible na malalamiko...!!
Slowly wewe unafikiria huyo ni mnyama gani anayekutisha hata wewe?
 

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,321
2,000
Ishu ya Lissu ni Inside job, so kwa vyovyote vile ingetokea tu. Ishu ya Mbowe ni kwamba chama kwa sasa kimefulia, hakina hela ya kuwalipa walinzi, Ruzuku ya miaka 10, more than 300mil kwa mwezi ni bwana Mwamba pekee anajua imeenda wapi, ukihoji hilo ndani ya chama ni kujitafutia balaa.
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,254
2,000
Ishu ya Lissu ni Inside job, so kwa vyovyote vile ingetokea tu. Ishu ya Mbowe ni kwamba chama kwa sasa kimefulia, hakina hela ya kuwalipa walinzi, Ruzuku ya miaka 10, more than 300mil kwa mwezi ni bwana Mwamba pekee anajua imeenda wapi, ukihoji hilo ndani ya chama ni kujitafutia balaa
Wale makomandoo aliwashawishi waache kazi anaajiri Sasa wanalipwa na papasi tu sero

USSR
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
11,106
2,000
Walinzi wepi hao wanaoweza kuwazuia vijana wa kamanda Siro wasifanye majukumu yao ya kazi tena ya kisheria?
 

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,551
2,000
Kwaiyo kwa akili zako nyingi unazani Mh Mbowe akiwa na walinzi polisi hawawezi kumkamata? Hizi ni akili za kitalebani hahahahahaha
Tumia Akili japo kidogo Suala ni jepesi sana kulielewa ni sawa na kuniuliza kwani RAIS akiwa na Ulinzi hawezi kuuawa? Je kwa nini Rais anaulizi iwapo anaweza kuuawa?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,551
2,000
Wale makomandoo aliwashawishi waache kazi anaajiri Sasa wanalipwa na papasi tu sero

USSR
Nilikuwa nimesahau kumbe mchangiaji upo hivi huelewi hata unachoandika
JamiiForums1980995331.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
347
1,000
Tumia Akili japo kidogo Suala ni jepesi sana kulielewa ni sawa na kuniuliza kwani RAIS akiwa na Ulinzi hawezi kuuawa? Je kwa nini Rais anaulizi iwapo anaweza kuuawa?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mzee walinzi binafsi hawana mamlaka ya kuzuia jeshi la polisi kufanya kazi yake labda wasiwe walinzi kiwe ni kikundi cha wapiganaji
 

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,677
2,000
Wakibeba bunduki kujilinda mnawapa kesi za ugaidi....
Wakitembea bila silaha, mnawaita wazembe

Damned if you do, damned if you dont
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom