Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Madaraka ya Bunge amesema kamati yake imemuhoji Mbunge wa Kawe mh Josephat Gwajima na ametoa ushirikiano wa kutosha. Mwenyekiti huyo amesema wanaendelea kulifanyia...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
High drama in the Gwajima clan! So is this a tacit admission that it indeed was him in that homemade sextape?
25 Reactions
175 Replies
18K Views
Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa...
11 Reactions
52 Replies
7K Views
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli. Makatibu wakuu wa vyama...
7 Reactions
88 Replies
9K Views
Wakuu,Mimi nimejiuliza sana kuhusu Huyu Rais Samia,bado sijapata majibu, nikaona nine niwaulize,swali hili hapo juu ili tutafakari pamoja na kupata jibu sahihi. Maana kama naona ile methari...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala...
22 Reactions
81 Replies
6K Views
Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Mama Samia popote ulipo nakupa hongera Sana kwa hatua hii uliyofikia. Mimi naweza kuwa tofauti na wengine kwenye kuliangalia hili suala. Bidhaa nyingi za ndani hazina ubora kabisa hivyo kuanza...
13 Reactions
134 Replies
10K Views
Huu ni Ushauri wangu kuwa ikiwa kweli Serikali inawakamua wananchi wake kiasi cha Bil. 48 ndani ya mwezi mmoja wa kwanza kabisa pamoja na kuwepo kamgomo ka kufanya miamala kwa watanzania wengi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Aliyekuwa naibu Waziri wa afya katika Serikali ya awamu ya 5 na ambaye kwa sasa ni waziri wa Tehama Dr. Ndugulile ametunukiwa Tuzo ya umahiri na kupromoti afya na wizara ya afya. Dr. Ndugulile...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo. Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Mama bado anachanja mbuka. Juzi katoka, kesho tena. Mbeya na Lindi subirini kwanza. Soma viongozi atakaoambatana nao halafu uniambie posho zinaliwa na nani. ======== Rais Samia Suluhu Hassan...
6 Reactions
69 Replies
7K Views
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani...
24 Reactions
45 Replies
3K Views
DAda zangu wa mjini nawapa angalizo, Kama boyfriend wako aliwahi kukuambia kajenga nyumba kijijini kwao ambayo hujawahi kuiona, halafu leo kwa namna yoyote ile umemsikia au umemshudia akilalamika...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Watanzania acheni upuuzi kuwalilia viongozi wa siasa na mifumo mliyoililia. Minyoo inakaa pale chakula kipo tayri kunyonywa.Utakufa wewe minyoo bado ipo hai.Ukitaka chakula kikufikie unahitaji...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Rais wetu mtukufu, mhe. Dk. J. M. Kikwete afanya ziara ya kikazi nchini Brazil kukagua kilimo cha nyanya ili kuenzi sera ya kilimo kwanza. Hiyo ndio safari ya kikazi ya mhe. Mkubwa. Watanzania...
7 Reactions
41 Replies
7K Views
Ningependa kujua kutoka kwa wale wenye kukumbuka jinsi suala Mnyika na SMS ya kutengenezwa kama vile imetoka kwake lilikuwa handled vipi? Na kama mitandao imeweza dhibiti hili jambo .Otherwise...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Jina lake kamili ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kifupi chake ni CHADEMA kifupi ndani ya ufupi wa jina ni CDM, lakini kuanzia ngazi ya msingi ya hiki chama hakihakisi kabisa jina la chama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mh Kikwete aliwahi kutuambia kwamba wanaCCM hawaaminiani kwa kiasi cha kushindwa hata kuachiana maji ya kunywa mezani . Usemi huu wa Rais Mstaafu ungali hai hadi leo .
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom