Rais Kikwete aenda Brazil kukagua kilimo cha nyanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete aenda Brazil kukagua kilimo cha nyanya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngoiva, Apr 19, 2012.

 1. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais wetu mtukufu, mhe. Dk. J. M. Kikwete afanya ziara ya kikazi nchini brazil kukagua kilimo cha nyanya ili kuenzi sera ya kilimo kwanza. Hiyo ndo safari ya kikazi ya mhe. Mkubwa. Watanzania sasa tujiandae kwa kilimo cha nyanya kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu na uchumi madhubuti.
   
 2. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  anaweza kuleta wawekezaji wa nyanya bongo...teh teh teh...kweli inabidi kifanyike kitu kabla ya 2015...!
   
 3. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba na Mama Mwanaisha watalii kweli, kwanini wasiengeenda Ilula kujifunza kilimo cha nyanya???
   
 4. A

  Apeche Alolo Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du huyu ****** sasa naona kichwan ana mashudu co ubongo
   
 5. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  akimaliza mda wake anatakakuwa mjasilia mali,mbona kuna waziri mkuu mstafu watanganyka alikwa analima uyoga?
   
 6. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni pamoja na wapambe zaidi ya 100. Ukitaka kujua Bongo ilivyop bongo sidhani kama alikuwemo afisa wa kilimo katika kundi hilo, ambaye angaa wanaweza kudai kuwa walikuwa SERIOUS ili achukue rekodi ya kurudi nayo wizarini kwa ajili ya utekelezaji!!!:thinking:
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Angeenda pale kwenye chuo chetu cha kilimo wana mradi mzuri tu wa kilimo cha nyanya na mboga na matunda mengineyo.
   
 8. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  huko ni kula huku ukiwagusa mikono vipofu.
   
 9. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu huyu rais wetu hathamini mambo yanayofanywa na wenyeji. Anawaabu na kuwasujudu wazungu sana, na ndo maana safi zake nyingi ni nje ya Afrika.
   
 10. G

  GENDAEKA Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vasco da gama
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Na usharobaro wake Ataweza kweli kufanya kilimo baada ya kung'atuka? Au ndio atakuwa dalali wa nyanya sokoni Kariakoo?
   
 12. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Atamaliza term mbili za urahisi (miaka 10) akiwa anajifunza na kushangaa. Hataacha chochote cha kukumbukwa na Watanzania zaidi ya kudidimiza uchumi na kupaisha bei za bidhaa na mahitaji mengine muhimu kwa watanzania. Bei ya mchele kwa sasa imefikia shilingi 2,800 hadi 3,000 kwa kilo ilhal sembe imegota shilingi 1,000 kwa kilo. Jaribu kulinganisha bei ya bidhaa hizo wakati anaingia madarakani mwaka 2005; mchele ulikuwa shilingi 500 hadi 600 kwa kilo wakati sembe ilikuwa shilingi 200 hadi 250 kwa kilo.

  Ponda maisha JK Watanzania wanakuangalia na kuendelea kuvumilia maumivu na mateso ya ugumu wa maisha!!!!!!
   
 13. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu nini? Mlitaka afanyaje? Watz bwana!!
  Dah!
   
 14. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vipi,nadhani atajifunza na jinsi ya kuchuma mboga za majani kabisa.
   
 15. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Nilikuwa sijajua kwamba tanzania tuna uhaba wa nyanya. Hii ni kali na si kidogo. kwanza tukishazilima tutanunulia nini kama hela zote wamegawana kule hazina. Au mwenye kitunguu atabadilishana na mwenye nyanya?
  Muuza nyanya hapokei hela zilizoko mtaani. wao wamehamisha zile original wakatusambazia feki na kutufungulia kesi kwa kuzipokea.

  'Nyonge mnyonge na haki usimpe' ndo sera ya serikali
   
 16. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  Hivi anatakiwa kukagua au kujifunza? Maana nijuavyo mimi, mtu anakagua kitu chake, sasa akikagua nyanya za Wabrazil inakuwa kama anataka kujua progress ya nyanya ambazo hakuzilima
   
 17. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,719
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  afadhali.......pengine itatusaidia na si ile ya kwenda Jamaica kwenye ile pembea ambayo ilitakiwa iwepo sehemu kama Ngorongoro Crater tangu miaka hamsini iliyopita.

  my worry..asije akakutwa Copa Cabana beach akiogelea kisha tukaambiwa aliunganisha na likizo.
   
 18. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  "kwani wakati mnatapeliwa kwa mara ya pili mlikuwa wapi!"
   
 19. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ziara hiyo ni muhimu kwa serikali?....zaidi ya milioni mia tatu zimetumika kwa ajili ya safari hiyo then tunakagua kilimo cha nyanya...what a shame...............
   
 20. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye rangi ya MAGAMBA ni style ya Ku-S** kama Mbwa au inaitwa DOG STYLE!

  Ila anajifunza namna BRAZILIAN TOMATO zinavyozalishwa!:A S 41:
   
Loading...