Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila ukiitazama Tanzania na uongozi wake unagundua kabisa kwamba wazi; Nchi hii haina muda mrefu nayo itajisajili kuwa katika nchi zenye Vita za ndani kwa ndani, wao kwa wao Kama ilivyo kwa nchi...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Hamjamboni wanangu wana jamvi? Ni muda mrefu watanzania wamekuwa wakisikia viongozi wao wakienda ughaibuni bila kujua walioandamana nao. Haya mambo ya kuficha waliokuwa au wanaoandamana na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Makamu wa Rais SAMIA SULUHU amuwakilisha Dkt MAGUFULI Swaziland Mkutano wa SADC Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ardhi ya mji wa...
2 Reactions
91 Replies
14K Views
Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima...
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa Homework Juu ya Tozo la Miamala Wewe na Timu yako Mnaohusika mliangalie Upya Suala hili, sio Kufuta bali kupunguza Makali Ya Tozo. Badala yake Kwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini ndugu, Siku za hivi karibuni kumekua na ajali nyingi sana za barabarani, ambazo kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na uzembe wa madereva. Lakini, askari wa barabarani wamejisahau sana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm. Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa. Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa...
0 Reactions
5 Replies
783 Views
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Sisi wananchi wa Jimbo la Kawe hatujakutuma kugombana na kutukanana na shemeji yako. Mambo ya kusema kuwa ndoa mbili za shemeji yako zilivunjika sababu ya tabia zake, na tangu ameingia kwenye...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni...
14 Reactions
248 Replies
19K Views
Kwa msafara aliosafiri nao wamo makada na watumishi wa CCM kuanzia wajumbe ya NEC na katibu wa itikadi na uenezi. Hawa wote wamesafiri kwa kutumia kodi zetu. Swali langu Watu hawa walioambatana na...
0 Reactions
13 Replies
44K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na mawakili wa utetezi wanaomuwakilisha mshitakiwa wa pili Sylivester Nyegu katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Kamati ya Olimpiki kujitathmini na kuja na mkakati utakaowezesha kuongeza idadi ya washiriki katika mashindano mbalimbali tofauti na ilivyo sasa ambapo timu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola...
20 Reactions
71 Replies
5K Views
Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
FAHAMI MATSAWILY JUMA fahamijuma@yahoo.com facebook:fahami matsawily twitte:fahami matsawily...
2 Reactions
9 Replies
12K Views
Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais. Pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama...
39 Reactions
281 Replies
36K Views
Back
Top Bottom