Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Watanzania acheni upuuzi kuwalilia viongozi wa siasa na mifumo mliyoililia. Minyoo inakaa pale chakula kipo tayri kunyonywa.Utakufa wewe minyoo bado ipo hai.Ukitaka chakula kikufikie unahitaji kula kingi hadi minyoo ishindwe kidaka.Minyoo inakaa katika utumbo mkubwa,pale chakula kimeshaandaliwa tayri kwa kuliwa. Hapo usipokula njaa itakuuma ,na ukila kabla hakijaingia mwilini wanakula wao kwanza.Wajamaa kila chema kwa nchi ni wao wanaanza na wao ndio wanapanga. wao dio wanagawana pesa,vyeo, na style yao ya kugombea. UTASIKIA SIJUI PALE KUNA HELA WAMEWEKANA WAO TUU.HAWASEMI WANAOKULA WANAINGIZA KIASI GANI?WAKISHAINGIA NA KUULIZWA WANAPOSHINDWA WATASEMA WANAONEWA WIVU.WANAFANYIWA HUJUMA. Huo ndio ujamaa.Hata kidunia kushindwa kwao hudai kwamba mabepari wanawaonea wivu,mabepari wanawahujumu.Ila utashangaa wanajisifu kwamba wana majeshi majeshi imara, wana elimnu bora.Ila hawana majibu zaidi ya kusingizia wengine wanaposhindwa.
Hamjawahi jiuliza kwanini mwaka mzima barabra hazipitiki,ila siku wanakuja zinalimwa vyema?Hata mazao mliyolima kwa shida na mikopo huozea njiani kwa vile barabara ni mbaya,ila bado pamoja na hizo hasafa,wajamaa wakija wanaaka kilichobaki.Hamjawahi jiuliza kwanini wao tuu ndio hupewa zawadi hata na masikini.Hamjawahi jiuliza wakija nyumba zinapakwa rangi?
Hamjawahi jiuliza watajuaje kwamba mna njaa?Watanzania mtakuwa mmelogwa na uchawi mbaya sana wa kijamaa. Wajamaa wapi duniani wakasikia njaa au wakajali mwenye njaa?Korea Kaskazini wana mabomu,rais anakula kila chema cha dunia . Wakorea wenye njaa mbaya wapo kibao.
Watanzania mlikubali kuishi na ushetani mlikubali kuhalalisha ushetani.Sasa mtaharamisha vipi maovu yake.
SISHANGAI KWANINI SERIKALI IPO TAYARI KUZIMISHA HABARI ZA NJAA KWA VILE KWAO NJAA NI AIBU.ILA SI JAMBO LA KUSHUGHULIKIA.
Wajamaa mtawaua kuliko waelewe ugumu wa kilimo,ili wajue ugumu wa biashara.WAJAMAA HAWAJAWAHI KUFANYA KAZI HALALI ZAIDI YA SIASA. NDIO MAANA TRUMP ANAWADHARAU SANA, NDIO TOFAUTI YA OBAMA NA TRUMP.WAJAMAA WATAKUAMBIA WANA UZOEFU WA UTAWALA.UZOEFU WA UJINGA .