Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye...
Kuna baadhi ya mambo yanayoendelea yanastaajabisha sana,yalipigiwa sana kelele huko kabla, yanakuharibia sio kidogo na kadri muda unavyozidi kwenda yanazidi kukuharibia.
Ushauri unapata kutoka...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa Askofu Gwajima sasa kapitiliza katika kuwapotosha Watanzania kwenye matamko yake juu ya chanjo ya UVIKO-19 (Corona).
Askofu Gwajima kupitia ibada za...
Je, ni sahihi wabunge wa Zanzibar kukaa Bungeni wakati hoja za wizara zisizo za muungano zikijadiliwa kwenye bajeti nk
Na je Ni sahihi wao kuwemo kamati za bunge za mambo yasiyo ya muungano...
Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi...
kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la...
Katika Wazee Bora Na Wenye historia Ya Taifa Letu Ni Mzee Wetu Makamba
Hakika Nimzee Asie Isha Hamu Kumsikiliza Tizama Hii Video Kisha Sema Llt Kuhusu Mzee Makamba pll1
Sent using Jamii Forums...
Wadau naomba kuelimishwa, manake hili swali nimesikia watagazaji wanaulizana. Wenyewe hawana uhakika na wanatofautiana tu mitazamo hapa.
Kuna mmoja anasema Manispaa inaweza kuwa ndani ya...
Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni...
Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye...
NA MWANDISHI WETU. Dar es Saalam
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kutekeleza miradi na programu...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu amewasili jijini Washington DC nchini Marekani ambako atahudhuria mikutano mbalimbali ya kisiasa.
Akiwa nchini humo mh Tundu Lissu atahudhuria mikutano...
MHE MWENDA AWAHAKIKISHIA WANA-IRAMBA KUTAFUTA SULUHU YA MIGOGORO YA MIPAKA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amewahakikishia wananchi wa kata ya Ntwike kuwa...
Salam,
Nafikiri sio wote tunaweza kufanana namna ya kuona,lakini wapo tutakao kubaliana kama nchi,tunapita mahali pa tension ya aina yake.
Maeneo mengi ya maisha yameguswa kwa namna...
Ziko dawa, chanjo, na njia za matibabu ambazo zimeachwa kutumia wakati hapo mwanzo zilipitishwa na kuruhusiwa kutumiwa. Mfano, watu wameacha kutumia dawa kali kutibu minyoo, indocid, chloroquine...
Kifutu ni aina fulani ya nyoka ambao ni wafupi na wanene.
Ndio najiuliza hao vifutu aliowataja askofu Shoo kwamba wakumbuke hii ni awamu ya 6, ni akina nani hao?
Nawatakia Pasaka njema...
Wanaukumbi.
CHADEMA tuelezeni hizo Tozo Mpya zinaingizia serikali kiasi gani cha Pesa Kisha mtueleze matumizi ya serikali kama mnavyodai zinaenda kununua mabomu na kulipa polisi mishahara...
Watuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso, hayakuwa maelezo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.