Kwanini CHADEMA haikualikwa kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Mteule Zambia?

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
 
Mleta mada, unajuaje kama Zitto hakualikwa kama mtu binafsi au rafiki?? Je CCM imealikwa au SSH amealikwa kama Rais na sio Mwenyekiti wa CCM??

Ni wazi hujui protokali - ngoja tuona kama kwenye hafla hii vyama VIKUU vya upinzani kanda hii ya afrika vitawakilishwa.

Ukiweza kuthibiti emotions, utakuwa na nafasi ya kufikiri objectively!
 
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?

Umeandika utopolo. Wenzio tuko busy na mambo ya msingi zaidi:

1. Mheshimiwa MBOWE
2. Katiba mpya.

Hayo yamo kwenye uzi wako?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
ODM,URP,NASA kutoka ,Jubilee,Kenya,NRA Uganda vimealikwa?
Jaribu kuficha ujinga kidogo
 
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
Swali hilo ungelielekeza kwa mualikaji na si mualikwa.
Kwanini mimi sikukualika kwenye kilaji cha bieri jana mchana baada ya chanjo?
 
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?

HAWANA HATA MBUNGE MMOJA WANAITWAJE?

Wako busy na katiba na kesi ya Mbowe, mwenyekiti yuko diaspora.
 
Wanaalika serikali halafu rais ndiyo anaweza kwenda na kiongozi wa upinzani
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
 
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
Samia anakwenda na ujumbe wa Tanzania, Zitto hayumo!
 
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?

Kualikwa Zambia napo ni ujiko?
 
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
Serikali za nchi zinaalika serikali za nchi nyingine. Kasome uelewe.
 
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.

Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
Tupe orodha ya waalikwa ndipo uje na hoja yako
 
Back
Top Bottom