Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama...
Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano...
Gwajima admits to have received Speaker's letter
Dar es Salaam. Member of Parliament for Kawe constituency, Bishop Josephat Gwajima has admitted receiving a letter requiring him to appear...
Ukweli ni kwamba Mbowe hakufikishwa Mahakamani ili kukwepa nguvu ya umma na jumuiya za kimataifa , hasa baada ya kuonekana dhahiri kwamba Mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo .
Natoa wito kwa JF...
Habarini wapendwa wadau wa jf.
Kiukweli kabasa chama Cha ccm kwa Sasa nchini mwetu kimegeuka kero na kinatia hasira Sana kwa maneno na matendo yao, chama hiki hakijali Tena haki za watanzania...
Sikubaliani na baadhi ya hoja za gwajima lakini nakubaliana na ujasiri wake.
Askofu Gwajima amekataa kuwa kondoo, eti kisa serikali inasema tufanye hivi basi wote mnafanya bila kujiuliza kwamba...
Kuna kila dalili kuwa taifa limeingia katika mifumo ya ukusanyaji kodi za tozo yenye mizozo na tafrani kubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Kuna tozo za miamala ni shida.
Kuna tozo za property...
Kesho ni siku ya kihistoria kwa hawa nguli wa siasa kwani wote watakuwa mbele ya pilato.
Askofu Gwajima atakuwa bungeni mbele ya kamati ya maadili ya bunge.
Freeman Mbowe atakuwa mahakama ye...
Kuna kitu hapa IGP na timu yake wajifunze.
Yawezekana the diary ipo lakin DPP kaona haina mashiko na kutoipeleka, au yawezekana pia haikuwepo. Jambo la msingi ni tabia ya Polisi kutoa ufafanuzi...
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe inavyoenda, kuna uwezekano wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kuwa ni...
Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri.
Mbowe na familia yake walikuwa ndio CHADEMA. Mpaka sasa ni CHADEMA ni mali yao.
Sasa je, kama ikitokea...
Wabunge wote wanaogopewa na serikali ya Rais Samia na ndio mkaona kila mmoja ana uthubutu wa kuropoka na kusema analolitaka, kubwa ni kuwa wabunge hawa hawakupigiwa kura na wananchi, ila...
TANZIA: MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA AFARIKI DUNIA.
Mstahiki Meya wa Manispaa 1ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi David Nkulila(CCM), amefariki dunia usiku wa...
Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii...
Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.