Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko. Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya...
7 Reactions
73 Replies
9K Views
Waziri wa Mawasiliano nakushauri anzisha fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja. Yaani mfano ukibaini hiyo namba ya kitapeli ni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi, Zanzibar ingekuwaje bila ya Muungano? Wangetajirika au wangekuwa maskini zaidi?
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia...
16 Reactions
108 Replies
54K Views
Kazi ya IGP imekuwa kama vile kazi ya siasa siku hizi. IGP ndiyo kiongozi wa kubambikiza kesi, kutesa wapinzani, kuzuia katiba isitekelezwe, kuongoza mauaji kama watu kupotea na kupigwa risasi...
1 Reactions
2 Replies
980 Views
Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
Nashukuru kwa kweli kila naposikia mngurumo wa ndege natizama Mawinguni naiona Air Tanzania inakata Mawingu. Natoa Barakoa yangu. Natabasamu na kutikisa kichwa nikisema tuna Rais Kidume hasa...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Wasalaam wanajukwaa, Naweza kudiriki kusema kwamba kuna mahali kama taifa tumeshiba sana tuna la amani na ulivyo na amani tuliyonayo ndiyo maana kikundi kidogo cha watu wachache wasiofikiria...
11 Reactions
11 Replies
1K Views
Hatuwezi kupiga hatua ikiwa kila kitu cha umma tumekiingiza kwenye siasa. Tusipobadilika tutafuta mchawi wetu kila mahali.
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani? Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini. Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Na Hamida Khalid | Jumatatu, Novemba5 2012 WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuongeza safari za nje, kwa sababu zinazochochea maendeleo kwa kasi nchini...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Aitaka serikali kuongea na manabii wanaodai kufufua wafu ili wafufue wapendwa wetu? === Mbunge wa Mtambwe (ACT-Wazalendo), Khalifa Mohamed Issa amehoji "Serikali haioni wakati umefika kukaa na...
11 Reactions
99 Replies
10K Views
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Godwin Mollel amewataka wananchi kutokuogopa maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu chanjo ya Uviko-19 kwani chanjo hiyo ni...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Esther Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa Wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na...
5 Reactions
114 Replies
8K Views
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko...
31 Reactions
1K Replies
105K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Madaraka ya Bunge amesema kamati yake imemuhoji Mbunge wa Kawe mh Josephat Gwajima na ametoa ushirikiano wa kutosha. Mwenyekiti huyo amesema wanaendelea kulifanyia...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom