Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Ningependa kujua kutoka kwa wale wenye kukumbuka jinsi suala Mnyika na SMS ya kutengenezwa kama vile imetoka kwake lilikuwa handled vipi? Na kama mitandao imeweza dhibiti hili jambo .Otherwise tutakuwa na mazingira mbaya sana kisheria.
Matukio ya simu kutumika vibaya mitaai yanasemwa sana.Mengine kama yanahusisha wafanyakazi wa haya makampuni ya simu.
Pasipokuwa na uthibitisho wa kutosha oka kwa haya makampuni.Ni wazi very soon,audit reports zao hazitokuwa na maana kabisa.Na itakuwa ni mwisho wa imani ya chochote kutoka katika makampuni.Hii itaondoa kabisa umaana ambao tunauhitaji katika kesi na mambo mengi yanayohitaji ushahidi wa haya mashirika.