Bishop Rev. Bishop Gwajima & CCM Govt Saga: A crash of two Kingdoms...

Bishop Rev. Bishop Gwajima & CCM Govt Saga: A crash of two Kingdoms...

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,950
Reaction score
12,550
Ndugu zangu wana JF;

Kwa wachunguzi na wanaotazama kila tukio linalotokea hapa duniani kwa tafakuri na kwa macho angavu, wanaweza kuelewa kuwa mgogoro unaoendelea ndani ya CCM na serikali yake ukiibuliwa na Rev. Josephat Gwajima una maana kubwa sana kwetu wote...

Huu ni mgogoro kati ya falme mbili (two separable kingdoms) kubwa; Ufalme wa mbinguni/MUNGU na Ufalme wa ulimwengu/shetani.

Bishop Rev. Josephat Gwajima anawakilisha Ufalme wa mbinguni/Mungu na CCM na serikali yao wanawakilisha ufalme wa dunia/ulimwengu/shetani/ibilisi.

Falme hizi kamwe hazipatani kwa sababu zimebeba agenda tofauti kabisa lakini mlengwa [battle ground] Wa mapambano na mapigano haya akiwa ni binadamu/mwanadamu...

Historia ya dunia iko very clear sana kuwa, wapo mitume wengi wakubwa waliowahi kutumwa duniani wakiuwakilisha wa Ufalme wa mbinguni/Mungu maarufu na wakubwa kabisa wakiwa ni Mussa, Joshua na baadaye Yesu Kristo aliyekuja akafunga na kumaliza kazi na vita hii na hivyo mwanadamu akakombolewa kabisa na ufalme wa Mungu Yehova uka - reign mbinguni na hapa duniani...

Leo tupo wajumbe wengi wa ufalme wa mbinguni. Rev. Bishop Josephat Gwajima ni miongoni mwetu. Ni sauti ya "jitu la Mbinguni" iliaye nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wake umefikà.

By virtue tunapigana lakini ushindi ukiwa tayari mikononi mwetu. HIVYO MAKAMANDA MSIOGOPE...

Bishop Rev. Josephat Gwajima is a true representative of God's Kingdom. And it's therefore, wafalme wa dunia wanapigana vita dhidi ya ufalme wa Mungu Yehova ambavyo kiuhalisia wanafahamu hawawezi kushinda kwa sababu wana Wa ufalme ulio juu ni washindi...

Ndugu zangu, the devil is always a liar and manipulative. Ukiwa huna maarifa ya ki - Mungu, huwezi kulijua hili bali utaona mambo yanatokea na kudhani no kawaida tu...

Shetani akiwa mtawala wa ulimwengu huu, huwatumia watu usioweza kudhani kabisa ili kutimiza au kutekeleza agenda zake za kumharibu na kumwangamiza binadamu...

Mawakala (agents) wake, mara nyingi ni watu prominent wenye nguvu za kiutawala kwa kutumia serikali za kidunia hii, wenye busara na hekima za kidunia na wenye kuaminiwa kirahisi na wasio na maarifa ya ki - Mungu....

Tanzania ni sehemu ya dunia hii. The devil has a dangerous agenda for this nation and its people na kwa hili, watawala moja kwa moja wakiwa mawakala wake...

Ni ujinga na uwendawazimu kudhani kuwa, serikali na viongozi wake kuanzia Rais hawawezi kutekwa na kununuliwa spiritually ili wauze roho za watu kwa sababu wao wanakuwa tayari walishajiuza kwa mashetani.

Watanzania tuamke na tuhoji kila kitu. Tusikubali tu kupelekwa kama ng'ombe machungani eti kwa kauli za "serikali haiwezi kuumiza wananchi wake....". Ni uongo. Kwani kina Hitler, Mobuto Seseseko, Benito Mussolini walikuwa kina nani? Kwanini walitesa raia wa nchi zao...?

Sasa basi, hii vita kati ya falme hizi mbili, ni nzuri sana. Tunakwenda kuona ni ufalme gani una nguvu dhidi ya mwenzake. Tunakwenda kuona mabadiliko makubwa ktk utawala wa nchi hii.

Nina hakika kabisa sasa kuwa, Bishop Rev. Josephat Gwajima aliingia moja kwa moja katika "active politics" za majukwaani akiwa na gwanda la CCM for purpose na kupewa ubunge ili atimize special prophetic mission ya ki - Mungu dhidi ya nchi na wana wa nchi hii....

Hoja ya watu wengi wanasema hawezi kuwa mjumbe wa Mungu kwa sababu aliingia kwa wizi wa kura mwaka 2020 na kuupata ubunge kwa tiketi ya CCM....

Lakini mimi nasema, It doesn't matter aliingiaje. Kilicho clear kwa sasa ni kuwa, yeye ni mbunge wa CCM...

What matters is that he's there for a special mission and it's must be accomplished...

Na nilicho na uhakika nacho kingine ni kuwa kwa mikono yake, Gwajima hakuiba kura wala hakutuma watu wake waibe kura ili awe mbunge.

Ila ukweli ni huu, kuwa, wana CCM wenyewe walimpa ubunge mtu huyu wa ufalme usiokuwa wao without his knowledge na kumbe waliandaa their own destruction force as we see now. Angalieni chaos anayoisababisha huko CCM na serikalini. Huyu mtu ni unstoppable akiamua kusimamia jambo analoliamini....

Na amesema kwa kinywa chake kuwa piga, ua, garagaza atalipinga swala la chanjo ya COVID 19 kwa sauti kubwa...!

Hili mimi ndilo nalifahamu sasa na ni zuri sana kwa wanamabadiliko na wanaoupinga utawala huu wa miaka zaidi ya 60 wa siasa chafu za CCM.

Asanteni...
 
J. Gwajima huyu huyu wa Kawe ndio anawakilisha ufaulme wa Mungu?
Yaani eti huyu Gwajima aliyekata viuno akimgegeda muumini wake...

Yaani huyuhuyu anayefufua waumini wake na kushindwa kumfufua mama yake...

Huyuhuyu aliyewaambia waumini wake hela ya kuwanunulia treni iko kwenye mfuko wake wa shati....

Huyuhuyu Gwajima aliyesema yeye ni mkubwa kuliko Rais na bado akaenda kuiba kura za ubunge


Wonders shall never end
 
1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo

2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo

SWALI HILI LIKIJIBIWA, TUCHANJWE KWA LAZIMA:

Kwanini upate chanjo?
 
1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo

2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo

SWALI HILI LIKIJIBIWA, TUCHANJWE KWA LAZIMA:

Kwanini upate chanjo?
wakikujibu unitag
 
Eti anawakilisha Ufalme wa mbinguni dah basi kama mbinguni kuna huo utakatifu na huyu Mchungaji ndo muwakilishi wao ntashangaa sana

Huyo Mch anaweza kuwa sahihi kwa baadhi ya mambo lakini siyo issue ya chanjo labda sana ana haki ya kutoa maoni lkn siyo eti awe ndo sauti ya kuwakilisha kwa weledi gani wa mambo ya afya aliyonayo zaidi ya kuleta conspiracy theories ( Myama sijui 666, Mzungu anataka kutumaliza) hivi mzungu akitaka kutumaliza atashindwa kweli? tunatumia karibu vitu vyote vya kutoka kwao

Afu kujichanganya mjini kuna raha na karaha zake huyu najua kwa ushahidi maovu yake ya uzinzi, kuna ka ‘koloni’ kake mitaa ya huko Wazo/Tegeta niliwahi kuwa karibu nako najua mengi tu ya kishenzi ya huyo Mch
 
J. Gwajima huyu huyu wa Kawe ndio anawakilisha ufalme wa Mungu?

Ndiyo, huyu huyu...

Bibblia inasema mtawatambua kwa
Gwajima anawakilisha mapasta feki na CCM wanawakilisha wezi waliovaa suti.

Siyo kweli. Huyu kwa vipimo vyote ni mtumishi wa kweli wa Mungu...

Mtawatambua kwa matendo yao. Hakuna "fake pastor" atakayesimama ktk zamu ya Rev. Gwajima akapingana na serikali za kishetani za dunia hii waziwazi mchana kweupe halafu akawa salama...

Mtumishi wa Mungu wa kufanya hili, lazima awe na nguvu ya kweli ya Mungu aliye hai...!!
 
Hizo falme zote za duniani, hakuna falme ya mbinguni hapo, tulishaambiwa sio kila anaeita Bwana ataurithi ufalme wa mbinguni.
Unaamini hivyo?

You are wrong!.. Yatazame mambo haya kwa tafakuri njema na macho angavu zaidi na Mungu akupe neema ya kusubiri ili uje uone hiki nilichoandika...
 
Pastor Ng'ang'a hapa Kenya anauliza ni mwakilishi yupi wa Mungu ambae yuko na ujasiri wa kucheza porn mbele ya camera?
Huyo Ng'ang'a ndiye "Fake Pastor" halisi sasa...

Hakuna mchungaji na mtumishi wa Mungu wa kweli anayeweza kufanya dhambi ya UZINZI/UASHERATI na bado akaendelea kuitangaza Injili Habari Njema kwa watu wote kwa ujasiri wa siku zote...

Labda husomi Neno la Mungu tu wewe...

Hapana mtume na mtumishi wa Mungu aliyewahi kuwepo duniani na kuzushiwa na kutengenezewa kila aina ya kashfa za duniani kama Yesu Kristo...!

Je, unafahamu kuwa Yesu Kristo alihukumiwa kifo kutokana na makosa ya kutunga...?

Kipi cha ajabu kwa Rev. Gwajima kutengenezewa kashfa ya ngono ili tu kumkatisha tamaa asifanye kazi ya Mungu?

Acha kulishwa upepo na kudanganywa na mawakala wa shetani, maadui wa kazi ya Mungu aliyehai...

Soma kwa makini andiko langu kuu ili ujue mikakati (strategies) anayotumia shetani kuharibu kazi ya Mungu...
 
Huyo Ng'ang'a ndiye "Fake Pastor" halisi sasa...

Hakuna mchungaji na mtumishi wa Mungu wa kweli anayeweza kufanya dhambi ya UZINZI/UASHERATI na bado akaendelea kuitangaza Injili Habari Njema kwa watu wote kwa ujasiri wa siku zote...

Labda husomi Neno la Mungu tu wewe...

Hapana mtume na mtumishi wa Mungu aliyezushiwa na kutengenezewa kashfa mbalimbali kama Yesu Kristo...!

Unafahamu kuwa Yesu Kristo alihukumiwa kifo kutokana na makosa ya kutunga...?

Kipi cha ajabu kwa Rev. Gwajima kutengenezewa kashfa ya ngono ili tu kumkatisha tamaa asifanye kazi ya Mungu?

Acha kulishwa upepo na kudanganywa na mawakala wa shetani, maadui wa kazi ya Mungu aliyehai...

Soma kwa makini andiko langu kuu ili ujue mikakati (strategies) anayotumia shetani kuharibu kazi ya Mungu...
Sawa mkuu
 
Angalia
Afu kujichanganya mjini kuna raha na karaha zake huyu najua kwa ushahidi maovu yake ya uzinzi, kuna ka ‘koloni’ kake mitaa ya huko Wazo/Tegeta niliwahi kuwa karibu nako najua mengi tu ya kishenzi ya huyo Mch
Una uhakika na usemalo?

Angalia usije ukajitwalia hukumu isiyo na sababu kwa sababu ya hisia zako...

Ya kutumia kila cha wazungu, sijui una maana gani?

Je, una maana hicho ndicho kigezo cha kuyapa uhalali haya ya UVIKO 19 na chanjo yake inayopingwa leo...?

Ndugu chakula ni chakula lakini siyo kila chakula toka kwa yeyote kinaweza kuwa salama kwako kwa kigezo kuwa kila chakula kipo kwa kuliwa..!!
 
Ndiyo, huyu huyu...

Bibblia inasema mtawatambua kwa


Siyo kweli. Huyu kwa vipimo vyote ni mtumishi wa kweli wa Mungu...

Mtawatambua kwa matendo yao. Hakuna "fake pastor" atakayesimama ktk zamu ya Rev. Gwajima akapingana na serikali za kishetani za dunia hii waziwazi mchana kweupe halafu akawa salama...

Mtumishi wa Mungu wa kufanya hili, lazima awe na nguvu ya kweli ya Mungu aliye hai...!!
Hivi bado anafufua misukule hapo kanisani kwenu?
 
Back
Top Bottom