Igp Sirro: Wananchi toeni ushirikiano

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,125
4,168
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa uharaka zaidi kabla ya kuleta madhara kwa jamii.
 
#HABARI Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa uharaka zaidi kabla ya kuleta madhara kwa jamii. https://t.co/NY15VmWV4P
Je hata uonevu wa polisi wake kwenye vile vikao vya ndani?vipi kuhusu na vile vikao na makongamano ya ndani kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vinapo zuiwa isivyo halali na baadhi ya polisi waliona maslahi yao binafsi tuna ruhusiwa pia kutoa taarifa kwake?
 
Suala hapa ni uzalendo, Uzanilendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati lakini ukweli ni kuwa huwezi kupenda kitu kinacho kunyanyasa mkuu Sirro.
 
Hata yale makongamano yetu yanayozuiliwa tutoe ushirikiano vipi ili yafanyike
Ushirikiano pekee wa kweli ni katiba mpya ambayo ndani yake,ipo tume huru ya uchaguzi pamoja na kufutwa kwa sheria kandamizi,pamoja na zile kinga zinazotumika vibaya kwa maslahi ya kikundi kidogo kwa maslahi yao.
 
Back
Top Bottom