James mbatia afunguka mazito, awashukia vikali Rais Samia na jeshi la polisi

Jensen salamone

JF-Expert Member
Sep 28, 2019
320
639
Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata kauli ya Amir Jeshi Mkuu haiheshimiwi!?? Tanzania tunaenda wapi??.

Nasema kwa dhati kabisa kwamba hawa wanaozuia mikutano ya vyama vya Upinzan wanachochea chuki na wanachochea hasira kwa Watanzania nyie ndio Magaidi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania msiwasingizie wengine.

Jeshi la Polisi mimi ni M/kiti wa Chama cha Siasa Tanzania nani asienijua nawasiliana na IGP hajibu simu yangu na wasiliana na RPC hawajibu simu zangu, nyie ndio mnapandikiza chuki na mnaihujumu Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nchi imekuwa ya hovyo kabisa Polisi mmeota masharubu mmeshindwa hata kuheshimu kauli ya Rais kwamba vyama vinaruhusiwa kufanya mikutano ya ndani sasa ni kauli ya nani itaheshimiwa katika nchi hii?? Sisi tunahasira kweli kweli Rais tunakuomba tuzungumze mdharau mwiba mguu huota Tende.

Kama Jeshi la Polisi mmeamua kulianzisha sisi NCCR-Mageuzi tunaweza kulimalizia, tumefanya Siasa za kuunganisha nchi na kutafuta maridhiano kwa muda mrefu ili kuisaidia nchi yetu ila mmeendelea kutuona wajinga mmekosa uungwana mnataka kulivuruga Taifa hili, sisi tupo tayari kwa lolote kuanzia sasa tumechoka kunyanyasika ndani ya Nchi yetu wenyewe.

Nchi imejaa chuki, angalia mauaji aliyofanya Kijana Hamza watu wanashangilia hii inaonesha dalili ya chuki kwa Taifa, tunatoa pole kwa Familia za Marehemu wote ikiwapo Familia ya Hamza kwakuwa na yeye ni binadamu na tunawapa pole chama cha Mapinduzi kwa kuondokewa na kada wao Hamza ni kada wao wasikatae sisi NCCR-Mageuzi tunawapa pole.

James Francis Mbatia
M/kiti NCCR-Mageuzi
 
Attachments

  • 2901450_20210191812.mp4
    980.3 KB
8860003675.jpg
 
Delilah hana bahati kufikia 2022 atakuwa ameshaondoka
 
Hamza ni mfano tu wa majitu yaliyopo CCM.
 
Chadema waefanyiwa mateso kila siku mko kimya, leo zamu yenu naona umelalamika sana. Tumeanza kuelewana
 
Kwa hio kwa akili zake huyu anaona haya police wanayoyafanya hayana baraka za amiri jeshi mkuu?
 
Mbuyu ulianza kama mchicha.

Hawa akina Hamza wadhibitiwe!
Ikitokea vile 'vikundi vinavyoogopwa' duniani vikaingia ndani mwetu, ndo utashangaa zaidi kuona vijana wetu wengi wakijiunga...Maana wamechoshwa na dharau,uonevu,na hali ngumu ya maisha mliyowasababishia.

Unafikiri vijana wasomi mliowaambia wakajiajiri watashindwa kuajisajili kwenye 'yale makundi'? Vipi wale vijana wa Jeikeitii mliowafurusha na kuwaambia hamtawaajiri? PUNGUZENI DHARAU.
 
'Maza Mizinguo' anadhani mbinu hii ndiyo itakayomsaidia na chama chake?

Hivi haelewi kwamba licha ya kukimaliza chama chake analitumbukiza taifa hili shimoni?

Au pengine huyu mtu ni pandikizi aliyewekwa maksudi na maadui zetu kulihujumu taifa letu?

Maana vitendo vyake vingi ni kama analihujumu taifa. Sijaona jambo analofanya linaloonyesha uzalendo wake kwa taifa hili!
 
Back
Top Bottom