Taratibu Polisi inachukua nafasi ya CCM kwenye siasa za Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.

Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.

Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.

Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
 
Polepole yupi?

Hoja ni nzito kuliko nilivyomfahamu akiwa mwenezi.
 
Samia ameonesha udhaifu mkubwa sana na kwamba hana tofauti na Magufuli.
 
Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.

Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.

Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.

Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Umeongea jambo zito sana ambalo watu wenye kuchambua mambo kwa makini wanajiuliza. Hivi kwa sasa nani anamtawala nani katika uongozi wa Tanzania?

Je ni CCM wamewaweka kwapani Polisi, au ni Polisi wamewaweka kwapani CCM?

Na kama ni Polisi wamewawekwa kwapani CCM, unaweza kukuta CCM wala hawana habari wamewekwa kwapani na Polisi, kwa kuwa tu wanafurahia Polisi kuwa wanawadhibiti watu wa upinzani.

Na unaweza kukuta CCM wanadhani wamewaweka kwapani Polisi, bila kujua wao ndio wamewekwa kwapani na Polisi

CCM wajiulilize kama IGP Siro is the most powerful person in Tanzania, kwa sababu Polisi ndio inaamua nini CCM wafanye ili Polisi wawape fadhila CCM
 
Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.

Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.

Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.

Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Aisee hili liko wazi kabisaa..
 
katiba mpya ndio kitu kizuri

polisi anateuliwa na serekali ya ccm.ukiwa tofauti na ccm wanaweza kukutoa kwenye cheo kwa sababu igp ziro kateuliwa na hatamu ya ccm
 
Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.

Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.

Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.

Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Mbona Walishachukua Siku nyingi sana
JamiiForums1966179623.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.

Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.

Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.

Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Sikiliza hiyo halafu mtaamuawa wenyewe.
polisi hawatendi haki
 
Attachments

  • VID-20210828-WA0002.mp4
    31.6 MB
Back
Top Bottom