Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,744
Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa.
Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana.
Nasikitika sana wanapoondoka na kuondoa Ubalozi. Inaniuma kutoka na Miradi mingi ambayo wameifanya hapa nchini. Nachelea kuitaja kwa kuogopa ku ji expose. Maana nitaweka details ambazo inawezekana kabisa nikawa traced.
Tunawakumbatia sana wachina . Wachina wa sasa si wa miaka ile. Wale walikuwa wana utu au wamefundishwa utu. Hawa wa sasa ni hatari zaidi ya Mabeberu. Wachina wanatafuta kujitanua kwa kila namna kiuchumi.jambo ambalo si baya. But uhalisia ni kuwa gharama ya kulipia uhuru tunaouza kwa wachina ni kubwa sana.
Kwa sasa wameruhusiwa kuzaa zaidi kwa kujua kuwa wataleta kizazi chao nchi za Africa kuja kututawala. Hawa wachina ni wakatili na wenye dharau sana kwa waafrika. Mimi nlipewa onyi miaka kadhaa kwa kuwa nadate Binti wa Kichina nchini China. Yule bint alilia sana nlipomwambia tuachane sababu ndugu zake wanasema namwambukiza magonjwa.
But nlienda pata binti mkali wa Kidenish ambaye kwa kweli tulipendana sana. Nikiwa ndo nmeanzisha njia kwake. Sikuwahi baguliwa kwao. And she was so proud of me. Kiasi ndugu zake wakawa wanaomba niwapatie wadogo zangu nao watambe.
Leo mashemeji zangu na wakwe wanaondoka TZ... Inaniuma sana.nikifikiria haya yote napatwa na huzuni.