NW Katambi: Wapinzani wanataka Tume Uuru ya Uchaguzi kwa sababu tu huwa wanashindwa kwenye kura za Urais

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,927
Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.

Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.

Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.

Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 Jumatatu.
 
Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.

Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.

Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.

Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 jumatatu.
Kwa hiyo yeye hataki Tume Huru Ya Uchaguzi?😅😅😅
 
Sasa ni wapi tumeshinda kura za udiwani??
 
Kuna siku kuna mtu atavua nguo hadharani :p :p :p
 
Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.

Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.

Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.

Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 jumatatu.
Hahahahahaha.., ww unachekesha kweli. Yaani unamlinganisha Katambi na Tundu Lissu kwenye taaluma ya Uwakili? Ajabu sana. Ni sawa na kulinganisha kichuguu na Mlima Kilimanjaro, Wallah!!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom