Nawashangaa Sana ndugu zangu! Munamdemkia mnoo!!
Sote hatujaona fikra au maono ya maza ambayo yanatekelezwa hapa nchini
Sote tunajua Mambo mengi yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika nchini kwa maono ya mzee Faza
Maza ameingia anakusanya mapato mapya ya tozo ambayo si maono yake sh.bilioni 50 hivi kwa mwezi,
Faza alipoingia kwa maono yake aliweza kupata mapato mapya sh.bilion 500 hivi kwa mwezi, na angeweza kujenga vituo vya afya zaidi ya 1000 kwa mwezi
Tutamsifu maza akifanya vizuri, ila kumzidi Faza baado saana
Sisi timu jiwe tunawaangaliaaa, tunasema HIIII

- Tozo si maono yake
- Barakoa na chanjo si maono yake
- Kesi ya mbowe si maono yake
- Kuhojiwa Gwajima si maono yake
- Bei za mazao si maono yake
Sote tunajua Mambo mengi yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika nchini kwa maono ya mzee Faza
- Kukomesha wanyonyaji ndani na nje ya nchi
- Uadilifu na uchapa kazi serikalini
- Kukuza miundo mbinu
- Vyeti feki
- Kudhoofisha upinzani
- Kulinda madini na maliasili zinginezo
- Kukataa lockdown
- Elimu bure
- Ndege
- Umeme vijijini
- Uhuru wa wamachinga na bodaboda
- Stiglazi goji
- Esjiara
- Safari za reli
- Tumbuatumbua