MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,006
- 2,166
Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali
Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya kamati. Hatusikii Bunge likifanya kazi yake ya kumhoji waziri Mwigulu kwa kuwataka wa-TZ wahamie Burundi!
Ninachohisi, kuna hasira ya kuona mambo yao ya ukwepaji kodi yako wazi kwa wananchi. Wabunge wanakwepa kulipa kodi halali ya vipato vyao kwa kisingizio cha posho. Mbunge anapewa pesa za kuajili dereva na watu wengine ambao hatawalipia kodi, zinaitwa posho.
Eti posho ni kubwa mara 3 kuliko mshahara wake. Ni mtindo wa kizamani, lipeni kodi halali. Hatuhitaji kuona watu wanaofanyakazi kwa kulipwa posho.