Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
4 Reactions
108 Replies
13K Views
Kuna mambo hii nchi ukitafakari sn unaweza kukosa majibu. Taasisi husika zinazosajili institution nyeti kama za Dini Ni vijiwe vya kupigia hela tu, waziri yupo miaka nenda Rudi, msajili yupo nk...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna wakati kila jambo linahitaji kufikiriwa kwa undani sana, kila mtu katika taifa ana haki yake lakini katika kudai haki yako kuna taratibu nyingi za kufuata pamoja na kufanya uzingativu hivyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwamba kuna wazee fulani wa TANU akiwemo hayati Kawawa walimchangia nauli Mwalimu Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa kule Marekani kudai uhuru wa Tanganyika. Kwamba Uhuru tuliupata kwa njia ya...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or...
36 Reactions
94 Replies
9K Views
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada...
15 Reactions
88 Replies
6K Views
|[ Kwa unyenyekevu Mkubwa, Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020]|, SIKILIZA HII NDUGU YANGU...
21 Reactions
60 Replies
6K Views
Ukweli haujifichi, ilikuwa ni swala la muda tu Tanzania na Duniani kote kuona nyota kuu inayong’aa kwa Rais wetu kipenzi Mama wa Vitendo Samia Suluhu Hassan. Leo umoja wa Machifu wamedhihirisha...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Wanyakyusa wanasema: "Indalama syalile Juta", yaani Fedha ilimla au ilimuua Yuda [Iskarioti]! Tanzania ya leo, mtu mwenye pesa na mamlaka anaweza kumfundisha na kumuamrisha hata Askofu Mkuu au...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Maono yangu yanaonesha kuwa Huduma za afya zinaelekea kuwa biashara na sio huduma. Nani anayesimamia mabadiliko haya ili yasituathiri miaka michache ijayo? Sijasema tuwazuie wafanyabiashara...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Nchi si shamba la mtu. Nchi huendeshwa kwa kufuata katiba. Inatia moyo majahili kama kina Alpha Conde wanapotiwa adabu kwa kukiuka katiba: "Rais Alpha Conde alitaka kuvunja Katiba ya Nchi ili...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Taasisi zinazoweza kulipua moto nchini kama hazitaonywa ni tatu: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jeshi la Polisi na Msajili wa Vyama vya Siasa. Taasisi hizi ni triplets, yaani mapacha watatu...
4 Reactions
2 Replies
986 Views
Kiti hiki cha Rais wetu ni kama Kifimbo cha Mwl?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Utalii siyo suala la muungano na Rais Samia hana mamlaka na utalii kwa Zanzibar. Yaani kiutalii Zanzibar ni nchi tofauti na Tanzania. Hivyo Rais Hussein Mwinyi afanye ziara yake kivyake Unguja...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo. Kwa mujibu wa Katiba, mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Hayo si maneno yangu,ni maneno ya Wakili Msomi ingawa lipo katazo la Mh wa mjengoni kwamba tusitumie maneno wakili Msomi. Ikiwa kesi ya Mh Mbowe ni nyepesi kuliko ya kibaka aliyekwapua simu...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu _Weki Iendelt Rais Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Dodoma akitokea Mwanza alikokwenda kushiriki Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi Zetu) lililofanyika leo katika viwanja vya...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
Back
Top Bottom