Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,705
- 4,739
Inaelekea ukaonekana ni uzi wa ambao ni ngumu kuuelewa kama lilivyo lile neno refu kuliko yote la lugha ya kimalkia yaani Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosi. Nina iangalia kwa kuichungulia 2025 kuelekea mbio za urais, na balozi dkt w.slaa anaweza akaja kivingine na kuushangaza umma wa watanzania.
Sasa ni chama gani?! embu twende taratibu, huyu mwanasiasa mjanja mjanja na smart kabisa hakuna sehemu aliwahi rejesha ama kuikabidhi kadi yake ya CCM wala CHADEMA public hata baada ya kuikimbia CCM miaka ile na hata baada ya kumkimbia fisadi papa ENL alipoletwa CDM 2015 na Slaa akachomoka chamani, vilevile hata baada ya kuteuliwa kuwa balozi na aliyekua rais wa JMT Hayati JPM, hakuna pahala Slaa alisema sasa kahama CDM na kurudi CCM. Kwa hiyo ana bunduki mbili mkononi hapo ya CCM na CDM. Slaa alimheshimu sana Magu na kwa sasa hayupo tena naona sasa yuko huru.
Vyovyote vile hata angehama haina shobo kwani ndio maisha ya mwanasiasa yeyote. Sasa basi, twende pamoja...kwanza kumuweka kuwa balozi nchi za scandnavia ni kumjenga kisiasa, hatujui anakutana na akina nani nanani huko...,PILI; Slaa bado ni mtulivu mno na bila shaka ndiye mpinzani aliyeipaisha CHADEMA na upinzani kipindi kile na kuifanya kujulikana nchi nzima, alikua katibu machachari sana na CDM hawajawahi kupata mbadala wake kamwe.
TATU; Ni mpinzani mkubwa pekee mwenye misimamo na ambaye amejitahidi kuweka clean sheet na tofauti yake na Lissu ni utulivu na mihemko ila kama ni uwanjani wote ni viungo wachezeshaji ingawa mmoja anakaba zaidi anapanda na kushuka, yaani anakabia kwenye robo ya adui. Slaa kama ni bado ana mtaji wa kisiasa ndani ya mioyo ya watanzaia wengi.
Sasa, nikiangalia hisabati za siasa za probability na calcus Slaa kama bado ana nia anaweza kuwa mbadala mkubwa zaidi wa kuchangamsha genge 2025. Wengi mtajiuliza chama gani? Ni hivi; Slaa anaweza akaanzisha chama kipya cha upinzani na ndani ya miaka miwili ya mwisho au mmoja kuelekea 2025 kikashika kasi (ingawa hii option nina ilay down kwa sababu watanzania sikama wakenya kwenye kupokea chama au muungano mpya ambapo wenyewe hata kuna miezi miwili kaba ya uchaguzi wanakiwasha na raia/wapiga kura wanawaelewa---they are well infromed), mbadala ninaouna ni kupitia vyama viwili na cha tatu cha mkopo ama hata shirikisho lisilo rasmi.
Options ya kwanza ni balozi dkt slaa ni kupitia CCM (kiaje kiaje usiniulize) ya pili ni kupitia CHADEMA (wakimbembeleza sana) ya tatu ni kupitia kwa Mzee wa kutafuta mitaji ya kisiasa ACT - Wazalendo ya Bwana ZZK (hapa atakua mjanja sana kwa sababu sidhani huyu mwana theolojia mwenzangu atakubali awe na mwisho wa Membe) ama Wapinzani wake waje nma kashirikisho kao wamsimamishe (ingawa sheria zimebana sana baada ya kufanyiwa mabadiliko)
NB: Mwanasiasa yeyote huwa hastaafu siasa bali anapumzikaga tu kuvuta pumzi.