CHADEMA imwombe radhi Paul Makonda kwa kumchafulia jina

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na CHADEMA. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya CHADEMA. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito CHADEMA kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
 
Jamaa wakat anaachia ofsi alisema ofsi ina majungu Sana , Ila mshikaj atakuwa anajua Siri nyingi Sana za yaliyotokea na yanayoendelea , hasa yahusuyo usalama , sema kapiga kimya kama haoni
Mkuu kipindi hiki ndo nimeamini kuongoza watanzania ni ngumu mnooo,,inabd uvae gamba gumu sana..
Yule jamaa anaonekana kweli kayabeba mengi sana moyoni,
Alifanywa punching bag na chadema,na dust bin ya serikali ya awamu ya tano,alikua ndo shock absorber wao 😁😁 wa matukio yote ya ajabu ajabu,,..
Naelewa kwann kuna nyakati alikua analia lia madhabahuni.
 
Huyu makonda ameshakuwa msafi lini? Baada ya magu kufa?!
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm Chadema walimchafua sana Makonda. Sana. Na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

Chadema waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
 
Makonda ndio Anatakiwa AOMBE RADHI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Makonda siku hizi yupo wapi?

Jamaa ndio kaachana kabisa na ishu za siasa itakuwa
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm Chadema walimchafua sana Makonda. Sana. Na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

Chadema waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Naona Bashite umekuja kujisafisha na ID fake!
 
Back
Top Bottom