Wananchi ndio msingi wa mamlaka zote kwa mujibu wa katiba ya Tanzania. Polisi ndio kichocheo kikubwa cha uonevu dhidi ya raia .
Basically na technically, serikali inapaswa kudhibiti uvunjifu huu...
Mambo ya Mungu huwa ni makuu sana, nawaambieni enyi watanzania, kuna watu walibarikiwa tangu wakiwa Tumboni mwa mama zao
Samia Suluhu ni mfano hai tulionao mpaka sasa achilia mbali manabii wa...
Kumekuwa na tuhuma nyingi kuwa Taasisi ya Kuzuia Rushwa ni Toothless bull dog na kwamba taifa linapoteza fedha nyingi kuiendesha wakati haina tija yeyote. Na haya yamesemwa mpaka na wabunge...
Barabara ya Zakhiem Mbagala Rangitatu ina vibanda vingi vya wamachinga kando ya kuta za viwanda, wamachinga hawa wanalindwa na mamlaka kwa hali na mali kwa sababu ndio wapiga kura wetu...
Pesa iliyopigwa na wajanja NSSF ni mara tatu ya pesa iliyopigwa na wajanja wa ESCROW!
Katika miradi yote inayosimamiwa na NSSF ya Arumeru na Kigamboni serikali imeingia hasara ya Tshs Trillioni...
"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za...
Habari ndugu zangu, poleni na makali ya tozo.
Niende kwenye mada moja kwa moja, baada ya kuondoka mpendwa wetu JPM kwa hakika moja ya swali zito lililokuwa liko kwa waombolezaji wote ni kuwa, je...
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima.
''Vitambulisho havilazimishwi ni...
Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku...
Mnada wa Cacao wenye Catalogue no 10 ya 2021/2022 umefanyika Mkoani Mbeya Wilayani Kyela, Mwambusye Amcos mnamo tarehe 06/09/2021. Jumla ya uzito ni kg 266,980, bean count 88, slate 1.9, flate...
Naikumbusha tu sekretarieti mpya ya CCM kwamba Mama lishe na Wamachinga ni wadau wetu muhimu hivyo tuwaangalie kwa jicho la huruma popote walipo pasi na kwenda kinyume na sheria za nchi.
Mungu ni...
MWANAMKE AWEZA KUWA CHIFU?
Taarifa kuwa Rais Samia Suluhu amepewa hadhi ya Chifu kule Mwanza zimepelekea baadhi ya watu kuhoji kama kunaweza kuwa na Chifu mwanamke. Mchango wa Askofu hapa chini...
Upande wa mlalamikaji ulieleza mahakama kwa ushahidi na facts kwamba mashtaka yaliyowasilishwa na Jamuhuri hayapo au hayana nguvu na msingi wa kisheria. Jaji alinaza baada ya kusikiliza pande zote...
Kila jambo mnalolizua wananchi wanalipuuza maana halina ushahidi wa moja kwa moja.
Mnadai kila mara Tume sio huru lakini kila chaguzi zikifanyika matokeo ni kama mnaliwa kichwa na wananchi na...
Ukifuatilia jinsi wabunge wanvyo mjadili mtu unashindwa kuelewa hawa wawakilishi walitumwa nini huko bungeni.
Swala la tozo linaumiza mwananchi Hakuna hata wa kuligusia lakini ukisikia...
Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo...
Waswahili husema kila zama na kitabu chake, pia kila msimu na ndege wake
Katika historia ya siasa zimepita Zama mbalimbali ambazo zilibeba wanasiasa mbalimbali wenye mvuto. Kwa kutaja wachache ni...
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.
Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo...
JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE
Habari ndugu zangu wa JamiiForum ,
Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni...
- Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.