Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu...
14 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha...
27 Reactions
67 Replies
7K Views
Serikali imepata mkopo wa Trillion 1.2 kwa ajili ya kupambana na corona. Gerson Msigwa amekuwa na utaratibu mzuri sana wa kuzungumza na wanahabari karibu kila mwezi, hivyo awe anasema pia kiasi...
8 Reactions
96 Replies
9K Views
Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la awali Serikali dhidi ya maombi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ya kibali cha kufungua shauri la kupinga tozo kwenye miamala ya simu. Hata...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna...
5 Reactions
68 Replies
11K Views
Ni vigumu sana kujua nani kanunua bidhaa zake wapi, hii ni kwa sababu Wamachinga wanauza kila kitu kinachouzwa madukani tena bila kikwazo chochote. Wamachinga wanauza nguo, simu, vifaa vya simu...
69 Reactions
85 Replies
9K Views
"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Tulirithi majeshi matatu, usalama wa taifa, ulinzi na polisi toka kwa muingereza, tukaongeza la kujenga taifa na mgambo. Hivi sasa tumeongeza Tanapa, zimamoto na uhamiaji, wote hawa wanatumia...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia...
-1 Reactions
12 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Likombe iliyopo Wilaya ya Mtwara, Mohamed Rashid Musa amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 9 saa mbili asubuhi. Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara, Eliud Shemauya ameiambia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Huu ni mwezi wa 5 Kijiji cha Butiama cha Baba wa Taifa hawajapata maji na wataalamu wanasema tatizo ni mashine, ni lini wananchi watapata maji kutoka Ziwa Victoria na tayari kuna bomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan zinazosambazwa mitandaoni zikimwonesha akiwa kwenye vivutio mbalimbali vya utalii, sio rasmi na hazina kibali cha...
6 Reactions
77 Replies
10K Views
Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) ameipa mamlaka Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kusikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi namba 27/2021 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
"Wakati mnaendelea na mijadala mingine nawafahamisha kwamba Mkurugenzi wa Kahama Anderson Msumba akiwa na Polisi & Mgambo wamewavamia wafanyabiasha wa Kahama na kuwapiga virungu kisha wameiba...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Nyalandu Ajivua uwanachama wa CCM pia amejivua na Ubunge. ====== Hiki ndicho alichokiandika Lazaro Nyalandu: NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
122 Reactions
1K Replies
157K Views
Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya? Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki. Tulipinga kwa nguvu...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro de Oliveira Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 09 Septemba...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Back
Top Bottom