Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fuatilia Live Updates za Mkutano wa Katibu Nec Itikadi na Uenezi na waandishi wa habari utakaofanyika hivi punde Makao Makuu ya CCM Dodoma.
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said amezitaka Taasisi na Mashirika yaliyopo Mkoa wa Kusini Zanzibar kutumia fursa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wakuu, Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda kwa Huruma mwenye...
26 Reactions
181 Replies
18K Views
Wakuu Habari Baada ya ziara ya Samia ya kwenda Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma...
28 Reactions
74 Replies
8K Views
Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
3 Reactions
37 Replies
4K Views
JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Nasubiri majibu yenu CCM Makao Makuu au hapo Lumumba juu ya hili kwani Sisi wana CCM tunayahitaji yale Magari ili tuweze Kumtangaza zaidi Bi. Hangaya na Tanzania yake. Huyu Haji Manara anatakiwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko...
14 Reactions
144 Replies
14K Views
"Mfuko pia unatekeleza utoaji wa huduma za matibabu ya kibingwa mahali mgonjwa alipo bila ya kutoka sehemu alipo na kuja katika hospitali inayotoa huduma hizo za matibabu ya kibingwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetoa hati kumwita Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu kuendelea kusikiliza...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Naamini ipo siku atatokea mtu jasiri ataeamua kutojitetea mahakamani pindi atapobaini mashitaka dhidi yake ni ya kubambikiziwa kwasababu tu ya chuki za kisiasa au vinginevyo. Huweki Wakili...
2 Reactions
1 Replies
729 Views
Ningependa kuchangia walau kidogo kuhusu mahindi kukosa soko Hizo ni dalili la kutokua tayali hayo ni matokeo ya kuto kukijua vyema Tanzania endapo Kila mkulima stamina kisses Kama tuna to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu. Yaani viongozi...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuanzia saa 2 asubuhi hii ya leo Ijumaa Septemba 10, 2021, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atazungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha UTV pale Azam Tv. Usikose kufuatilia.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people. Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote. Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza...
16 Reactions
84 Replies
6K Views
Back
Top Bottom