Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa...
6 Reactions
98 Replies
28K Views
Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Taarifa kuhusu Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM kilichokutana leo Ijumaa Septemba 10, 2021 Jijini Dodoma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamesomewa mashtaka yao upya kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga. Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na...
1 Reactions
1 Replies
896 Views
Suala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa...
5 Reactions
121 Replies
9K Views
CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu "Chama Cha Mapinduzi kitaendekea kupiga vita sera za udini, ukanda na ukabila lakini hakitaacha kutowatambua machifu na watemi. Hivyo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
............ style ya mavazi yao yanayoitwa magwanda; ya kwangu yako kwenyhe closet, niliyavaa mara chache sana. Vyama vingine vimeanza kuiga style hiyo!
1 Reactions
5 Replies
758 Views
WARAKA WA KICHUNGAJI (PASTORAL LETTER) WA MAONYO KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NA JESHI LA POLISI NCHINI TANZANIA. Mheshimiwa Jaji Francis Mutungi na Inspekta Generali Simon Sirro! Pokeeni...
15 Reactions
43 Replies
4K Views
Dear Minister of Foreign Affairs, First and foremost, i would like to congratulate the President of United Republic of Tanzania Mama Samia for appointing you to be the Minister of Foreign...
10 Reactions
26 Replies
5K Views
Bunge limeanza, tayari matatizo ya maji yanakuwa ni masuala ya mwanzo kabisa. Wizara hii imejaa wala rushwa, bahati mbaya hawajaguswa na mkono wa sheria. Wanaosimamia miradi ni rushwa na takriban...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiwasikiliza VIONGOZI Mbali Mbali wa CCM wakijinasibu kwa Wananchi kuwa WAPINZANI hawana HOJA na Wameishiwa HOJA Huwa Najiuliza HOJA ni NINI ambazo WAPINZANI Wameishiwa? Sipati JIBU...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Hotuba ya Rais Magufuli mara baada ya kutangazwa kuwa Mkt moya wa SADC imefumba vinywa vya wapumbavu. - Imejaa takwimu - Inaonesha mwelekeo - Inajenga umoja wa wa Africa - Imesisitiza kuangalia...
18 Reactions
358 Replies
33K Views
1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA) 2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha...
28 Reactions
152 Replies
12K Views
Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Mh waziri ni wazi unaongoza wizara muhimu Sana nakuomba pambana sana kuhakikisha kua haki inatawala ktk idara zako zote ili watanzania wawe na amani na tuzidi kudumisha upendo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom